Nakusudia kuwashitaki Airtel


Nilikuwa nimetupa laini yao, ngoja niirejeshe niwakope wiki, afu zikiisha niitumbukize chooni. Ni washenzi sana, niliweka elfu kumi nikakaa bila kutumia siku mbili.

Nilipotaka kujirusha nikakuta wameniramba buku 4 na jero! Nilipowapigia wakanambia subiri na nilisubiri hadi simu ikazima baada ya masaa mawili sikujibiwa.
 
Hawa wahindi kweli hawatutendei haki,
 
Mkuu unawakopaje hawa washenzi maana wamezidi kunionea, nataka namimi niwakomoe sasa.

hahah mkuu kama nakuona ulivoandika kwa hisia zote,. Kwa mimi Wanaafadhali kuliko tigo wanaonipandlisha bei ya vifurushi eti kwa sababu naweka sana vocha, hayo ndo majibu yao baada ya kuwapgia customer service
 
I miss mambo ya TTCL bhana...hawa binafsi-guys wana Uchu ni balaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…