ndonilivyo
Member
- Sep 9, 2022
- 33
- 39
Hiyo ni rangi halisi ya mkaaAcha kutisha watu, wacha Maisha yaendelee
Kabisa Hali ni ngumu etiUsije mjini
Dream is free broFrom ashes will arise.
Mbona we huhami?Mchele kilo 3000 ukila robo inakuhitaji 5kg KWA mwezi ambayo ni sawa na 15000 (sio ulaji wa kila siku)
Unga wa ugali kilo 2000 unahitaji kilo 5-10 KWA mwezi ambayo inagharimu 20000 kwa mwezi
Mafuta ya kupikia 1litre 6000-9500
Bajeti ya mboga na viungo vyake 3000 KWA mwezi 90000
Gas 25000-28000
Nauli 2000-5000 KWA mwezi tufanye 100000
Expenses 100000 eg sabuni, mafuta ya kupaka umeme, maji nk.
Hayo ni matumizi ya mtu bachelor hapo hajaumwa wala kuhonga hajatuma pesa nyumbani wala kununua nguo, hujamwagiria moyo, hasomeshi, yaani hayo ni maisha basic kabisa ya yeye kusavaivu.
Mwisho wa mwezi anakunja 300000-500000 mshahara basic KWA kampuni nyingi hapa MJINI daslamu Bila kodi wala makato mengine.
Ni kipato cha Machinga, Fundi selemala, mwashi cherehani, garage dereva nk bàada ya kutoa matumizi ya office.
Eti jamani mnatuona tulioko daslamu tunafaidi eeh?
Kwamba hizo bei ni za daslam peke yake?Mchele kilo 3000 ukila robo inakuhitaji 5kg KWA mwezi ambayo ni sawa na 15000 (sio ulaji wa kila siku)
Unga wa ugali kilo 2000 unahitaji kilo 5-10 KWA mwezi ambayo inagharimu 20000 kwa mwezi
Mafuta ya kupikia 1litre 6000-9500
Bajeti ya mboga na viungo vyake 3000 KWA mwezi 90000
Gas 25000-28000
Nauli 2000-5000 KWA mwezi tufanye 100000
Expenses 100000 eg sabuni, mafuta ya kupaka umeme, maji nk.
Hayo ni matumizi ya mtu bachelor hapo hajaumwa wala kuhonga hajatuma pesa nyumbani wala kununua nguo, hujamwagiria moyo, hasomeshi, yaani hayo ni maisha basic kabisa ya yeye kusavaivu.
Mwisho wa mwezi anakunja 300000-500000 mshahara basic KWA kampuni nyingi hapa MJINI daslamu Bila kodi wala makato mengine.
Ni kipato cha Machinga, Fundi selemala, mwashi cherehani, garage dereva nk bàada ya kutoa matumizi ya office.
Eti jamani mnatuona tulioko daslamu tunafaidi eeh?
Maji nimeyavulia nguo tealMbona we huhami?
Hata mm namshangaa, uchoyo tu mjini tutakuja TuMbona we huhami?
usidanganye watu maisha kila mtu anavyoyapanga jiji la wanaume kweli na hao mashoga mbona tunakaa nao mpka tunawakimbiaNdo maana ikaitwa bongo. Hili no jiji la wanaume kwelikweli sio watoto wa mama.
Unadhani mpaka mwanaume anaamua kuwekwa mchezo? Huyo nae sio mtoto wa mama ndugu ni mtu anayethubutu.usidanganye watu maisha kila mtu anavyoyapanga jiji la wanaume kweli na hao mashoga mbona tunakaa nao mpka tunawakimbia