Nakushauri nunua Alphard utaona matunda yake

Nakushauri nunua Alphard utaona matunda yake

Siwezi fanya mapenzi halafu niingie kazini au niende sehemu yoyote kuchangamana na watu bila kuoga hata Kama na mume wangu siwezi, huo no ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haahahahhaha noma sana .. Mdogo wa kiduku liko.. Nimecheka sana hii
 
Binafsi siwezi piga show nikaendelea na siku yangu bila kuoga. Maana hata itokee usiku nimeshoga nimepanda kulala narudi kuoga baada ya show.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana nchi haiendelei. Miaka 60 ya uhuru bado watu mnawaza upuuzi wa aina hii badala ya kuwaza business za maana unazoweza kufanya na alphard.
 
Kama bado hujasettle unataka uendelee kufanya michakato.nunua toyota alphard weka mapazia.kuwa na girlfriend wako.

Utamla anywhere. Mimi sometime huwa natumia hili gari kwendea kazini.sasa mida ninayotoka ni early.kuna mrembo huwa anaomba nimpitie.

Basi nimekuwa nikimpitia.tukifika kazini mimi gari napark juu kabisa huko kunawakua na magari machache sana.tunalala mpaka mida ya kuingia ofisini.

Bahati nzuri ofisi yake ipo jengo hilo hilo nami.so tukifika saa 12 tunalala mpaka saa moja kasoro dk 15 then.tunaagana kuelekea ofisini mpaka later.

Leo nimefanikiwa kumla kwenye gari.sitaelezea sana.but ndo hivyo kama utani.tumelala tunapiga stories nikaanza mchokoza hakubisha...baadaye nikamwona hoi.

Basi sketi tu ilipandishwa na chupi kuwekwa upande...nmekula...sema ubaya wake ni kuwa sikutumia condom.hilo ndo linanipa hard time kinyama.but mtoto alikuwa ameloana vizuri tu.

Alphard ni chumba kinachotembea.i am sorry kwa msio na magari najua hili litawauma sana.ila ndo hivyo.mi siwezi shindwa share experience eti sababu kuna watembeao kwa miguu watakwazika.

Nunua gari kubwa inasave pesa za kwendea guest house.unakuwa huhitaji tena guest house/lodge au hotel kwa sisi ambao alahamdulilah tuna kauwezo kidogo.

Ukiwa na gari....utawala weweeeeee......mpaka uanze kuwakimbia mwenyewe.
Umri wako miaka mingapi?
 
We boya uliyewaza maendeleo yako wapi?nchi huru hii...unaweza waza upndalo

Ndiyo maana nchi haiendelei. Miaka 60 ya uhuru bado watu mnawaza upuuzi wa aina hii badala ya kuwaza business za maana unazoweza kufanya na alphard.
 
Back
Top Bottom