Nakusanya Speech Za Rais SSH akiongolea mustakabali wa Tanzania

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
869
Reaction score
1,282
Moja kwa moja kama ilivyo kwenye kicha cha habari hapo juu, yeyote aliye na speech zilizoandikwa za rais akiongelea kuhusu mustakabali wa maendeleo ya taifa letu tukufu, basi anaweza kutuwekea hapa ili tuweke kumbukumbu sawa.
 
Sitaki kuonekana mchochezi...🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
 
Moja kwa moja kama ilivyo kwenye kicha cha habari hapo juu, yeyote aliye na speech zilizoandikwa za rais akiongelea kuhusu mustakabali wa maendeleo ya taifa letu tukufu, basi anaweza kutuwekea hapa ili tuweke kumbukumbu sawa.
yakutoka moyoni amafiche
 
downloadfile.jpg
 
Moja kwa moja kama ilivyo kwenye kicha cha habari hapo juu, yeyote aliye na speech zilizoandikwa za rais akiongelea kuhusu mustakabali wa maendeleo ya taifa letu tukufu, basi anaweza kutuwekea hapa ili tuweke kumbukumbu sawa.
Ukipata hata moja kuna 1M hapa nakupa
 
Kuna mtu aliwahi kuniambia "ukuu wa kiongozi hupimwa kwa maneno yake anayoongea pindi anapokua jukwaani kwa maana baada ya kushuka maneno hayo hugeuka kuwa tafakari ya kudumu ndani ya vichwa vya wale anaowaongoza".

Ila hadi sasa sijaona uhalisia wa kauli hii Kila ninapojaribu kumithirisha hotuba ya kiongozi huyu na yule.

Anyway, yawezekana yule Mzee alinidanganya au inawezekana ni kauli ambayo haipo applicable kwa hapa nchini.

Ukipata hizo video nitag nami nataka kuprove kitu. Pantosha
 
vipaumbele vikuu vya serikali na katika hotuba

---

1. Mapambano Dhidi ya Rushwa na Ubadhirifu

Kuimarisha nidhamu ya matumizi ya rasilimali za umma.

Kudhibiti mianya ya rushwa serikalini na kwenye taasisi za umma.

Kuwajibisha viongozi wazembe na wanaohusika na ubadhirifu wa mali ya umma.

---

2. Ujenzi wa Miundombinu ya Uchumi

Barabara: Kuongeza ujenzi na ukarabati wa barabara za mikoa na wilaya.

Reli: Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza na Kigoma.

Bandari: Kuboresha Bandari ya Dar es Salaam na nyinginezo.

Usafiri wa anga: Ununuzi wa ndege mpya kwa ajili ya kuimarisha Shirika la Ndege la ATCL.

---

3. Elimu Bila Malipo

Kuondoa ada kwa shule za msingi hadi sekondari ili kuwezesha watoto wote kupata elimu.

Ujenzi wa madarasa na kuongeza walimu.

---

4. Afya kwa Wote

Ujenzi wa vituo vya afya, zahanati, hospitali za wilaya na mikoa.

Kuboresha upatikanaji wa dawa na vifaa tiba.

Kupandisha hadhi ya hospitali ya Muhimbili na nyinginezo.

---

5. Viwanda na Uchumi wa Kati

Kukuza uchumi kupitia ujenzi wa viwanda vya ndani (sera ya Tanzania ya viwanda).

Kuhamasisha uwekezaji wa viwanda vya usindikaji wa mazao ya kilimo na madini.

---

6. Nishati (Umeme)

Mradi mkubwa wa kufua umeme – Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere (Stiegler’s Gorge).

Kupeleka umeme vijijini kupitia Wakala wa Umeme Vijijini (REA).

---

7. Kilimo, Mifugo na Uvuvi

Kuboresha miundombinu ya umwagiliaji na masoko ya mazao.

Uboreshaji wa huduma za ugani na pembejeo.

Kuhamasisha ufugaji wa kisasa na uvuvi endelevu.

---

8. Uadilifu, Uzalendo na Uwajibikaji

Rais Magufuli alisisitiza kufanya kazi kwa bidii (“Hapa Kazi Tu”).

Kupunguza matumizi yasiyo ya lazima serikalini (mfano: safari za nje).

Kuwahimiza viongozi kuwatumikia wananchi moja kwa moja.

Iko poa hii speech. Iweke hapa mkuu. Au alitoa lini tuisake?
 
Wewe ni Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah ?
 
Video zipo nyingi sana ila kwa kuanzia unaweza ukazipata mbili muhimu sana ambazo zitakupa picha kamili ya kila kitu kuhusu maono yake na mikakati yake juu ya maendeleo na mustakabali wa nchi yetu ntakutajia kwa majina

1. Hotuba ya Rais kulihutubia Bunge 2021
2. Hotuba ya kuvunja Bunge mwaka huu Juni

Hizi ni muhimu sana kuzifuatilia kwani itakuonesha mwanzo na mwisho wa awamu,

ila itakuwa njema zaidi kama utasindikizwa na hizi.

Rais kupokea Ripoti ya CAG (bonus ile ya Takukuru) 2020/2021, 2022/2023, 2023/2024 hizi zinakupa picha yale yatokanayo na hatua zilizochukuliwa na muelekeo wa Serikali yetu kwa ujumla sababu zinachambua na kuchanganua utekelezaji, hatua iliyofikia, changamoto, na suluhisho yote yakienda sambamba na mikakati ya Serikali juu ya maendeleo ya nchi.

Hizi zote zinapatikana mtandaoni haswa Youtube katika akaunti ya Ikulu na TBC na vyombo vingine vilivyorushwa mubashara

Back
Top Bottom