tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,008
- 1,949
Sina kipingamizi na salama zako, real tunakumiss JK
Ha ha ha. Huu ni ujumbe wangu wa wiki!! Msemo huu nimeusikia leo kwa mara ya kwanza.Ukitaka kujua umuhimu wa takoo kalia kichwa wahenga walinena juu ya hilo Mzee JK nami nakusalimu saaana
Ha ha ha. Nimecheka hadi machozi. Baba Rizi jamani njoo huku.Umesahau mpaka muda wa kulala usiku alikuwa anatukumbusha tuweke chandarua
Tunakukumbuka sana baba kikwete
so the opposite is true? for a current driver? au unataka kutuambia nini?Habari wanabodi,
Baada ya kutafakari yanayoendelea kwenye nchi yetu Tanzania nimeona ni vema nikusalimu RAIS wetu mstaafu JMK.
Kwanza kabisa shikamoo MHESHIMIWA, naamini unaendelea Vema na Majukumu yako ya kila Siku na ninamuomba mwenyezi Mungu Azidi kukubariki.
Pia baba mie mtanzania wako ulieniongoza kwa miaka 10 nimeona nikushukuru kwa kuniongoza kwa kipindi chote hicho..
Mkuu katika uongozi wako yapo mambo mengi niliyoyafaidi,ila ntataja machache niliyoyamiss kwa sana:
Kwanza:uhuru wa kuongea na nikawa salama-mkuu kwenye utawala wako ulitupa nafasi ya kuwa na uhuru wa kuongea na kusema chochote na hii ilifanya watu kuongeza kiwango cha udadisi kwa watanzania wengi-hata kama tuliongea tukapitilza mipaka ulituchukulia Poa na kuendelea na Majukumu yako.
Pili😀emocracy:Baba ulituacha tupambane na kila mikakati yetu ya kukuza democrasia nchini,vyama pinzani vilitekeleza operation zake bila kuzuilika na mikutano mbalimbali, Pamoja ya kuwa kuna mengine ulizuia lakini si haba mambo yalikwenda.
Tatu:Baba nakumbuka uwezo wako wa kuhutubia,ulipanga hoja zilizonyooka na zisizo na jazba..hata kama kuna sehemu hukutekeleza Ila ulituaminisha kwa maneno ya staha..ndio maana tulipenda hotuba zako za Kila mwisho wa Mwezi.
Nne:Baba katika utawala wako ulitufundisha ukitaka kula nawe ukubali kuliwa😛amoja na kuwa wapo waliotumia vibaya Kauli hii binafsi niliamini kama nataka kupokea lazima nijifunze kutoa...na kwa hakika kila biashara niliyowekeza ilinilipa vizuri-kwa hili nitakukumbuka..
Tano:Baba tabasamu ni tiba:kila ulipoongea nasi ulituonyesha tabasamu lenye upendo kwa watanzania, hata kama tumekusema vibaya Bado ulionyesha tabasamu,kitaalamu ulituponya kisaikolojia Kwan tabasamu ulilokua Unatoalilituponya.. Hitaji la kwanza la Kila mwanadamu ni kupendwa!!tabasamu lako lilileta raha hata usimamapo kuhutubia.
Mkuu ulinifurahisha Sana usimamapo kuhutubia nchi mbalimbali duniani kwa kujenga hoja na kiingereza kilichonyooka kwa ajili ya kuinadi Tz duniani kote, na hii iliongeza utalii kukua Tz
Baba pamoja na mapungufu yako Mie binafsi naamini hakuna aliyekamilika Ila kwa haya nitakukumbuka..
Wakuu najua wapo wapondaji na wakosoaji, salamu hizi kwa JK si za kumponda ni za kumshukuru kwa yale mazuri aliyofanya na Sio mabaya,kama nawe kuna zuri ulikumbukalo basi changia..
Mh JK pokea salamu na shukrani zangu.
Kinga Kingdom
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
UpooooooooooooHa ha ha. Huu ni ujumbe wangu wa wiki!! Msemo huu nimeusikia leo kwa mara ya kwanza.

Mkuu majaliwa nae atagombea?Watanzania kwa kupenda slopes tunaongoza, ila bado miaka minane ya hivi, kisha 10 ya Majaliwa ambae kiuhalisia bora Magufuli, hapa kazi tu
Na may be Makonda anaweza kuja nafasi ya Majaliwa wakati huo kama performance yake haitashuka
MakubwaaNa may be Makonda anaweza kuja nafasi ya Majaliwa wakati huo kama performance yake haitashuka