Nakusalimu Mhe. Rais mstaafu, Kikwete

Nakusalimu Mhe. Rais mstaafu, Kikwete

Mhhh hata ninyi?! Mimi JK namchukia kwa maamuzi yake ya dk za mwisho mwisho, alipoamua kuivuruga tume (NEC) ya uchaguzi, kwa kuwaondoa makamishina wa kweli, na kuwaleta wataalam wa IT wa vyombo vya dola na kisha kuangukia Chato.

Bahati mbaya viongozi wetu wanafikiri, kwa kuwa wanatuamulia ktk mambo ya uongozi ki taifa na kimataifa, wanadhani hata ktk uchaguzi lazima watuamulie, hili ni kosa watuache tuchague!!
Hayo pia ni makosa yake.

Sio vibaya tukimkumbuka kwa machache mazuri aliyoyafanya.

Japo ametuletea Dhalimu anatutafuna kweli kweli
 
Bora Jk wangepatana tu EL maana tunayoyapitia utadhani tuko kwenye harakati za kumtoa mkoloni mweupe,tungepata Rais humble tungesahihisha makosa yaliyopita bila kutumia SMG kama hawa wazalendo wa awamu ya 5 wanavyofanya.Bora niwe maskini lakini niwe na uhuru wa kudictate destiny yangu kuliko kufugwa kama faru john
 
Yote yanayotokea chanzo ni kutoelewana kwa watu wawili tu!

Nadhani hata wao wanajutia kutokuelewana kwao ili kulinda masilahi mapana ya taifa!
 
Kikwete ni Muislamu anaruhusiwa kuoa mpaka Wanawake 4!
So what .....kwani kuna mtu anatafuta mume hapa.........tumemchoka uyo rais wenu aliyesukumizwa......we huku kwetu mpaka wachoma maandazi wanalipa kodi msiiiiiiiiew
 
So what .....kwani kuna mtu anatafuta mume hapa.........tumemchoka uyo rais wenu aliyesukumizwa......we huku kwetu mpaka wachoma maandazi wanalipa kodi msiiiiiiiiew


Ok nilifikiri labda mnamtafuta Kikwete awaoe, kumbe siyo, usijali 2020 jitokeze umuweke Mbowe labda itakusaidia!
 
Hahaaa mtanikumbuka aliwahi kusema jk na kweli leo hiii tunakukumbuka baba ,vivaaa jk we miss u so much,asee.
 
Back
Top Bottom