mkoa wa mafukara 🤣🤣Waulize wachagga wenzio wanaotegemea maisha yao Mwanza watakupa ukweli, co mmekaa kishabiki tu. Ebu weka miradi mliyonayo huko n then compare na mwz
tena tushukuruni tumekuja kuwachangamshieni mji wenu huo
bongo lalaz
sisi tupo popote hadi tukuyu
unavoona wachina wapo huku ujue hatuna wataalamu sio kwamba sisi ni matajiri kuliko wao