Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Amani iwe kwenu.
Nachukuwa fursa hii kumpongeza Mstahiki meya wa Jiji baada ya kuchukuwa hatua inayostahili ya kuuondoa uongozi wa stendi kuu ya ubungo baada ya kubaini matatizo lukuki likiwemo Uchafu uliokithiri na ubadhirifu.
Huku akionekana kutoridhishwa na ufanisi wa kituo hicho pia ameelekeza uongozi wa jiji mara moja kusimamia usafi na kuteuwa Kaimu meneja wa kituo hicho.
Chanzo: EFM Magazeti.
My take.
Huyu ni meya wa pili baaada ya Jacob kutoka chadema anayepingana na ilani na sera za chadema na uongozi wa juu wakiwemo Mbowe,Lowasa na Lisu kwa kuwaadhibu watendaji wazembe hadharani.Je atavumiliwa?