Mfournykerge
Member
- May 6, 2017
- 5
- 4
Ni leo katika kikao cha waalimu waliohamishiwa sekondari, Pongezi kwako kwa kusimamia kauli ya Mh Rais kwamba mtumishi ahame mpaka pale atakapopewa pesa za uhamisho, pia ombi langu naomba uunde tume huru ya kuchunguza manake zoezi hili halijaendeshwa kwa haki hususani katika shule tulizokuambia,naimani utapokea pongezi zangu