PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,447
Mtengenezee mazingira hatarishiKuna demu ananishobokea sana, ila kila nikimgusia maswala ya mapenzi anabadilika kama chui..
Yani tukikaa week hatujaonana, basi siku akiniona anachangamka anani-hug na mabusu mengi mengi ... Yani hapa ndio nina data kabisa.. Tatizo ni moja tuu "hataki maswala ya mapenzi"
Kila siku kuniletea vizawadi na kunishukuru et hajawai kutana na rafiki wa kweli kama mimi.
Ni mwaka wa pili sasa naingiza gia lakini haingii kwenye line, mbaya zaidi kuna siku kanitongozeshea rafiki yake makusudi kabisa.. Anasema hapendi kuniona mpweke.... ila mimi simtaki rafiki yake namtaka yeye
Kiukweli naona ni bora kukatisha urafiki kabisa ili nisimuone ....
Aisee huyu dem anabadilika sana.. Sijui kwanini hata alainiki.. Geto anaweza kuja kabisa na usimfanye chochote.... Adi ninahisi itakuwa hana hormones za kikeMtengenezee mazingira hatarishi
Wazee wenzangu tuwe wavumilivu Tu Hakuna namna!
Wewe ndio mzembe. Na ukiendelea na uzembe wako atakutangaza hausimamishi dudu ya yuyuAisee huyu dem anabadilika sana.. Sijui kwanini hata alainiki.. Geto anaweza kuja kabisa na usimfanye chochote.... Adi ninahisi itakuwa hana hormones za kike
Kuna demu ananishobokea sana, ila kila nikimgusia maswala ya mapenzi anabadilika kama chui..
Yani tukikaa week hatujaonana, basi siku akiniona anachangamka anani-hug na mabusu mengi mengi ... Yani hapa ndio nina data kabisa.. Tatizo ni moja tuu "hataki maswala ya mapenzi"
Kila siku kuniletea vizawadi na kunishukuru et hajawai kutana na rafiki wa kweli kama mimi.
Ni mwaka wa pili sasa naingiza gia lakini haingii kwenye line, mbaya zaidi kuna siku kanitongozeshea rafiki yake makusudi kabisa.. Anasema hapendi kuniona mpweke.... ila mimi simtaki rafiki yake namtaka yeye
Kiukweli naona ni bora kukatisha urafiki kabisa ili nisimuone ....
Yani mkuu uko kwenye mawazo yangu kabisa.. Maana huyu demu gani anakataa kila mwanaume... Yani nishamuona kama hana hisia vile .. Maana najaribugi kumgusa sehemu nyeti lakini hashtukiKama sio anakuepusha kukuangamiza na gonjwa hatarishi basi huenda ni shemale hivyo anakusogezasogeza ili siku akikuweka kwenye target yake hutoki
Nampenda[emoji26]Hapa tuu wanaume ndiyo huwa wananishangaza.[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kwani hamna uwezekano wa kuwa rafiki na mwanamke bila kumtongoza?
Na akikataa kwanini u rafiki usiendelee?
Ndiyo unampenda na yeye hakupendi kimapenzi. Kwanini usikubaliane na hali na urafiki wenu ukaendelea.?Nampenda[emoji26]
Hanipendi kimapenzi mbona ananifanyia vitu vyote ambavyo wapenzi hufanyiana.. Kasoro kugegedanaNdiyo unampenda na yeye hakupendi kimapenzi. Kwanini usikubaliane na hali na urafiki wenu ukaendelea.?
Kugegedana ndiyo kitu kinachotambulisha kwamba hawa ni wapenzi. Hivyo vingine ni urafiki tuu na ni kawaida mtu kumfanyia rafiki yake.Hanipendi kimapenzi mbona ananifanyia vitu vyote ambavyo wapenzi hufanyiana.. Kasoro kugegedana
Uwezekano haupo my friendHapa tuu wanaume ndiyo huwa wananishangaza.[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kwani hamna uwezekano wa kuwa rafiki na mwanamke bila kumtongoza?
Na akikataa kwanini u rafiki usiendelee?
Aisee huyu dem anabadilika sana.. Sijui kwanini hata alainiki.. Geto anaweza kuja kabisa na usimfanye chochote.... Adi ninahisi itakuwa hana hormones za kike