safi sana taifa staz mmejitahidi sana endeleeni hivyo hivyo kupiga chenga nyingi kuliko magoli hapo mnaonyesha kiasi gani mnatuludishia fadhira tuliotoa viingilio, mnapiga sana chenga ka brazil vile mpira samba bwana na sio magoli#TAIFA STAZ UNANIPENDA nakuPENDA😀