Nakupenda Jf! Umenipa Hubby~love!.

Mom Fay ananichanganya toka moyoni nasema nampenda sana ebu piga hilo gita Benteke kama santana ili nami nimuimbie mamaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nashukuru kwa kua umeweka wazi hata kama wanafiki mmeanza kutokwa na mapovu na kupaliwa ndo hivo ishakua mtoto kakubali kua na Gentleman hataki Ma boy wanao lialia , asante kwa heshima hiyo nami naahidi yafuatayo

Hahahaaaaa, kumbe wewe! Kama ndo wewe basi sawa manake 1b+1b=2b...

Mnaendana!
 
Nakupendaaaa, nasifa nakupa usifuate ya wale wasiopenda mapenzi yetu nakupenda Mom lol
 

thanks my love. till death do us part, will always love you.mmwaaaaa!.
 

malaikaaaaa nakupendaa malaikaaaaaaaaaaaaaaaa
 
ndio yeye.

Mitongozo ya hapa ni kama a 1000ways to die, ni ghafla bin vuuu

 
Last edited by a moderator:
kwa mwendo wa tangazo la saccoss tusubir mwitikio wa sredi hii!
af bidada mjanja hajataja mtu!
enhnhenhe
 
Mbona kama mabinti wa hapa mmechanganyikiwa vile..??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…