Nakupenda japo yalitokea!

Nampenda sana mpenzi /laazizi /muhabati wangu hakuna kama yeyee,nampenda mpaka najishangaaa aiseee
 
Nakupenda sana mfalme wangu.. Mungu abariki kila lengo lililo ktk kamoyo kako!
 
Du! Hi kali.ok cmpendi sna mwenye hi no 0764endingwith 459.p
 

Are we messing with the same guy?
 
nakupenda mtu flani japo sikujui..yani hadi kukutaja hata siwezi
 
Nakupenda sana wewe, ndio wewe.
Najua unavumilia mengi juu yangu, but uko nami siku zote na utakuwa nami.
Ahsante kwa upendo wako wa dhati.
 
Nakupenda ,nakupenda ,nakupenda mrembo miss chagga.Mola azidi kukujalia ili uendelee kuwa ua zuri la hii dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…