Nakupenda JamiiForums™

Kufurahia mauaji ya polisi na kufanyia mzaha ni upuuuzi first class. Acheni utoto
Indee! hapa ni rorho za watu wane wamepotea. Ni ujinga na ukatili wa hali ya juu!
 
Hii kitu sio ya kukejeli hata kidogo, zile mashine walizochukua unadhani wataenda kuulia panya?. Polisi wetu mimi bado ninaimani na ninyi, fanyeni hima zile silaha mzirudishe mikononi mwenu.
 
Lazma kuwekwe utaratibu wa kuwapongeza na kuwazawadia wale wote tuliohudhunika na kulia kwa kuuwawa kwa askari wetu.
 
je huyu ila huu mzahaa inafikia hatua polisi kuchukiwa namna hii n hal mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…