Nakupenda ila please naomba unipe muda

Nakupenda ila please naomba unipe muda

Habari za juma pili.

Niende kwenye mada. Inshort ni mwanamke tulie achana miaka 5 nyuma ikiwa mimi ndio chanzo.

Tumejikuta tunaingia tena katika kulingana na kila moja bado kua na feeling na mwenzake

Lakini kuna unjumbe ambao nimepokea leo asibuh kutoka kwake nimebaki mdomo wazi sijui nijibu nini naombeni ushauri jamani

Huu ndio ujumbe unasema

"Machmadem nakupnd ila plz naomb unipe mda kwanz ku build haya mpnz yetu upya coz nahc na mamb meng yakuwek saw kwnz wakt huu plz emu npe mda kwnz nahc kwa ss sitokuw serious"



Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujui kusoma hata picha huioni?
 
Back
Top Bottom