Mwanamke anayeandika hivo akili yake unaweza kuipima kwenye test tube kama unafanya food test




ni type za wale madem wanaotaka kusiklizwa kila ki2 afanyiwe ..lkn wao hawafnyi kama unavyo taka
ata me nashngaa sana mkuu najiulza imekuaje lakini ni yeye ndio ametaka iwe hivo na mie najikuta naanza kumfeel kama mwanzo ...sasa shida ndo zinaanzia hapo na hzo jumbe za aina hyoUmesahau nini kwake?
AiseeeMwanamke anayeandika hivo akili yake unaweza kuipima kwenye test tube kama unafanya food test


kwahyo mkuu unishaur nini nikae kimya tu au nimjibu nini sasa?Ni kweli kabisa hawezi kushika mawili...
She has unfinished business... Anapima yupi atamfaa...
asante mkuuMpe huo muda anaotaka... muache afanya mambo yake...
Akija kukumbuka shuka na kumeshakucha...
Cc: mahondaw
nimekupata vizur mkuuHiyo miaka mitano wew hukuwa na mtu mwingine? Tumia muda aliyokwambia umpe kuimarisha Mahusiano uliyonayo kwa Sasa.
Cha pili jifunze kufanya maamzi kwa kutumia kichwa na si kufanya maamzi kwa kutumia uume Kama unavyofanya Sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
hili kama linaukwel vile japokua aliniambia hayupo na mtu naanza kupata mashaka
Sent using Jamii Forums mobile app
hili kama linaukwel vile japokua aliniambia hayupo na mtu naanza kupata mashaka
Sent using Jamii Forums mobile app