Mpunilevel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 3,140
- 1,871
Baada ya report ya CAG kusomwa bungeni na kutaja maeneo fisadiwa, moja ya eneo hilo ni wizara ya ujenzi ambayo ilikua chini yako kipindi hicho.
Si kweli kwamba ikitajwa wizara ya ujenzi basi ulihusika mojakwamoja kama waziri.
Hili linawezekana kabisa wataalamu wetu ndani ya wizara hawakulitendea haki taifa kwa ushauri mbaya kwako.
Maadam CAG kalisema Kuna ufisadi ni jukumu lako kulifanyia kazi sasa.
Maneno maneno yameanza kwa wale wanopinga kazi nzuri ya kusafisha serikali, almaarufu kutumbua majipu.
Waliamini utanywea kufanya kazi hiyo kwa hofu ya wizara ya ujenzi kutajwa na CAG.
Lakini Kitendo cha haraka sana kutengua nafasi ya mkurugenzi mkuu wa TCRA na kuvunja board of directors ni cha kishujaa.
Hii ni angalizo kwa wale ambao wnafikiri kazi hii ya kutumbua majipu ni nguvu ya soda, waelewe haina ukomo mpaka nidhamu irudi kwa watumishi na kuheshimu raslimali za nchi hii ni za Watanzania wote si kwa kundi fulani.