nakupa lumia na hela

nakupa lumia na hela

john hotsam da1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
396
Reaction score
79
Habari wakuu
Nna lumia 510 windows phone 7.8 na nna elf 50 (50,000/=) nahitaji exchange deal with android phone yenye at least 4" display!!

(hii lumia nayo ina 4" display na ipo kwenye hali nzuri)comment simu uliyonayo ntakupa namba kwa PM
 
mi ninayo, Xperia X10i
 
Aha! ongeza nikupe lumia 630 dual SIM.
 
hii 510 si ndio ile ambayo haikubali M-Pesa/Tigopesa/Airtel Money?....au imeshapata solution?
 
Back
Top Bottom