Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,821
Hilo kundi unalolipigia debe siyo kundi lako toka zamani na hata Leo. Zaidi tu ni kwamba wote mpo kwenye kapu Moja la CCM. Walikuweka hapo kimkakati tu. Kuisogeza lake zone ambayo ni zone pendwa kwa walaji. Na wajua kabisa kwamba wewe upo mwishoni ama kwa kutupa taulo mwenyewe au kwa kazi ya mola haina makosa. Kwa age Yako Mzee hata life span ya Afrika umeivuka. Hongera.
Baada ya uchaguzi atatafutwa mwingine
Anyway kwanini nakuonea Huruma.?
Kwasababu nimekuwa nikikufuatilia hotuba zako nyingi umejikita zaidi kuaminisha umma kwamba Magufuli hakufanya vizuri kwa Taifa ila malkia kafanya makubwa zaidi kwenye uchumi. Kwamba eti Magufuli aliacha uchumi wa Shida na sasa mambo super. Hivi ni kweli Mzee wangu?. Kwamba kila anayekosoa kutoka ndani ya chama alikuwa rafiki wa Magufuli na sasa analeta chokochoko. Je ni ya kweli hayo?. Je wewe unaamini kwamba ili Samia afanikiwe kisiasa ni lazima kumchafua Magufuli? Kama unaamini hivyo this might be a technical mistake.
Unajua kwenye kundi hilo lote hakuna mtu mwenye uwezo wa kujenga hoja na ushawishi wa kuongea zaidi ni puyanga na vijembe tu. Yeyote mwenye akili sawasawa hatamki vijembe Bali anataka Nini umefanya kwa muda wa miaka mitano na utafanya Nini kwa miaka mitano ijayo. Full stop.
Swali moja, Leo CCM mkawa na kampeni morogoro saa 10 jioni na wakati huo huo Polepole akawa yupo live kuzungumza na watanzania,je Nani atakuwa na followers wengi kwenye social media kati ya CCM na Polepole? Jibu nawaachia watanzania.
Je, ni kweli umeamua kumchafua Magufuli kwa kulinda wabangaizaji? Je ni kweli huyu ndiye wasira aliyelalamikia uchaguzi wa nyuma kwamba kaibiwa kura za maoni?
Shida ya wana CCM ni moja Kuna wakati Huwa wanadhani kwamba kuwa CCM ni peponi na CCM ndiyo nature yenyewe(Mungu) . Ebooo! Mungu yupo mwenye ulimwengu wake Huwa ana code zake
Wakati Samia anashika hatamu alikuta CCM ipo karibu na Wananchi Leo ni yeye mwenyewe kaipeperusha mbali toka kwa wananchi wa kawaida. Wasira kwani hujui kwamba wanakutumia uropoke tu Kisha aje mwingine hapo baada ya uchaguzi? Je huwezi kujenga chama bila kumtaja magufuli? Look magufuli is gone. Let him rest. Fanyeni yenu wananchi wana akili watawapima tu kama ambavyo kwasasa wamewapima
Mwisho Mzee wangu Kuna watu Huwa wanakufa ki mwili tu lakini hubaki kwenye mioyo ya wananchi. If you touch them people will tear you away. Leo social media zimejaa hotuba za magufuli na Nyerere kuliko za Rais aliyepo madarakani. Jiulize na tafakari kwa kina .
Hasta la Victorie siempre