Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,409
Siku ya leo nimefunga kwa ajili ya kumwombea kijana wa kitanzania Ben Saanane Katibu myeka wa Mkiti wa chadema aliyepotezwa katika mazingira ya kushangaza. Hatujui kama yuko miongoni mwa vijana wa waliyopelekwa na katibu mkuu wa chadema porini Bagamoyo kwa kisingizio wanaenda kulima shamba la Chama. Wapenda amani Tanzania Tumwombee mtanzania mwenzetu bila kujali itikadi ya vyama vyetu. Naona vijana wenzake wa Bavicha wamenyea baada ya kupigwa marufuku na wamiliki wa chama kumtafuta mwenzao wamekuwa baridiii kama wamemwagiwa maji na sasa wanajifanya na uchungu na maxence Melo wa Jamii forum kuliko kupotea kwa Ben Saanane. Mbowe Anajua Ben alipo.