Nakungojea

Pata kiroba kimoja urudi hapa. Usisahau kurudi na Asprin, aliaga muda kweli.Muulize mwajiri wangu: Mike McKee.Imagine! Me coming for u...Mimi na wewe twajua kuna ambalo hujalisema...fungukaMimi na wewe? PM Moderator, Mentor.
Hahaa sifunguki ng'o
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lako mdogo wangu unawaza cheating tu. na unajua uswahili tena. hivi unaweza ambia ulimwengu nimemuacha Paw kwa sababu yuarudi nyumbani saa nane usiku kila mara na mie ni mpweke? ama nimemuacha kwa sababu ananuna? nikuambie, mara dufu mwanaume anaecheat kuliko anaenuna ama ambae hayupo wakati wote (kwangu mie binafsi, manake huwa siwazii cheatings, mwili wake na autumie apendavyo). ila sasa kuna zile relationships unakuta mtu yuko kama chupa ya plastiki iko kwenye edge kabisaa ya meza, ukiipuliza tu ama kupumua kwa nguvu inaanguka. hapo ndo safari imefupishwa.

Nakupa homework, hebu msome chura na paka. Hata umpigeje teke chura huwezi muumiza, sawa na paka. na faida kubwa zaidi ni kuwa wakati anatua chini ndo kabisaa haumii.

nimependa huo ushauri uliompa mdogo wangu MwanajamiiOne, wa kumtaftia babu mwenzie hehehehe. si ndo yale niliyokuwa nasema?
 
Last edited by a moderator:
ngoja kwanza nimalize kuisoma signecha yako mamii. halafu nitakutumia barua pepe za maelezo, gugo haina pages lol.

NB: zingatia huo ushauri wa mbabu mwenzie bwana. unajua hata mtoto akiwa pekee anadeka, wakubwa wanasema ongeza mwingine :hug:
Lol Da King'asti una maneno kha mzaramo wa vigwaza!Haya huo uzungu ndo upi tena, ntahitaji fullscape tatu - A4 maelezo.
 

Ahaaaa...sasa nakusoma mdogomdogo...ddn't know I was this slow!

KWa hiyo apo solution ni wewe kusepa mwenyewe 'before' kwa kuwa ameshaonesha dalili za kusepa sometime 'after'?

Ngoja niifanye hii research ya paka na chura nije na jibu soon maana ingekuwa ni jambo jema (la faida..as you call it) na hisi na wao wangekuwa wakifuata watu miguuni ili wapigwe mateke wapunguziwe 'mwendo' (i prefer using 'umbali').



PM Moderator, Mentor.
 
Last edited by a moderator:
Mentor unafaidi ina maana PM zote zinapita kwako!!!! huzisomi kweli!! tehe!! tehe!
 
Last edited by a moderator:
ngoja kwanza nimalize kuisoma signecha yako mamii. halafu nitakutumia barua pepe za maelezo, gugo haina pages lol.

NB: zingatia huo ushauri wa mbabu mwenzie bwana. unajua hata mtoto akiwa pekee anadeka, wakubwa wanasema ongeza mwingine :hug:

HAhahahah we King'asti mh mie mwenyewe nilikuwa nimesahau hata nina signature gani loh. Aisee hivi si huwa kuna wanaoamua kuwa na mmoja tu? Sioni dalili za mabadiliko in the near future aisee, tena na siku hizi hata ule mshipa wa mzuka umekatika nahisi. Nadhani menopause imewahi kama wanavyowahi mabinti zetu siku hizi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…