Nakungojea

Principle ni "kabla hujaliwa, mle yeye"

 
Last edited by a moderator:
hehehe, do i need an excuse? like for real?
miaka ya kuvumilia na kuteseka just because we were born female ilishapitwa kakangu, learn from me.
Kuumia kupo, ila sitakaa hapo chini nikuombolezee kama nimekuzaa mie:A S 27::A S 27:


Ahahahaha, nnlivyo na hamu na umbeya mama weeeeeeh! Ngoja nikusake leo tule ubuyu.
Mentor haelewi kuwa chura kama paka, ukimrusha anatua chini bila kuumia. Ukimpiga teke ujue ndo umempunguzia hatua kama 20 hivi za kwenda kutua, unakuwa umempunguzia mwendo. nisaidie kumuelewesha bwana, kiswahili hainyoroki
He he he, nna umbea huo (just my imaginations)
Unaniuma kama ugonjwa

Mentor hakunipatatu, nilimaanisha hata mapenzi ya mbali, kama mtu akiamua kuondoka poa tu. Ni swa na kumpiga teke chura, maisha yatasonga tu.
 
Duh! same difference lakini! KWa nini isiwe jiweke pembeni...



One day it will be yours...


MwanajamiiOne, ina maana nyie wazee hamghaniani tungo tamutamu kama hizi???!

Hah Mentor wakat ukuta ................ Mheshimiwa Mbunge wa Nyumbani kwangu ye ana muda wa kusikiza radio mkulima yake, kiko mdomoni na gazeti lake mkononi basi, sana sana umtabasamishe na kikombe cha kahawa, ukiimba hata njiwa peleka salamu, anakwambia makelele ataka kupumzika, almuradi anazeeka kivyake.
 
Last edited by a moderator:

JF got talent bana imenikumbusha show ya america's got talent

Hapo kwenye Song of Lawino nakumbuka Lawino alivokuwa akimchabua small house ya mmewe Clementina loh!!!
 
Mmmmh! Imetulia haswaa kama maji mtungini,na umngoje huyo mwenzio usifanye ufitini,miye nangoja mwaliko wa kuja harusini,penzi la mbali mziki yafaa kuwa makini!!!
 
Then kwa nini usisepe tu kimya kimya kuliko kufanya yale yaliyokufanya ukasirike alipoyafanya? Sasa nimekuelewa unaposema unampunguzia hatua...kiswahili ni lugha mujarabu na pana sana inahitaji ubongo mwepesi kuelewa msemaji ana maudhui gani. Kwamba kwa kumpiga chura teke, umempunguzia hatua alizokuwa arukeruke kutoka alipokuwa hadi alipofika kwa teke lako..ingawa usisahau utakuwa umemuumiza (inconvenience) kwani hiyo si natural way yake ya kutoka sehemu moja kwenda nyingine. MH! Huyo babu mtafutie mbabu mwenzie...!!! (sikushauri mjukuu..wasumbufu sana hawa!)
Mmmmh! Imetulia haswaa kama maji mtungini,na umngoje huyo mwenzio usifanye ufitini,miye nangoja mwaliko wa kuja harusini,penzi la mbali mziki yafaa kuwa makini!!!
Munkari, huenda akawa wajina!!!! PM Moderator Mentor.
 
Last edited by a moderator:
Ah Mentor wee meno yenyewe yako wapi Mjukuu mie, kwishney yamebaki mapengo ya kutafunia ndizi mbivu, mahindi wantafutia madhila.
 
Last edited by a moderator:
Pata kiroba kimoja urudi hapa. Usisahau kurudi na Asprin, aliaga muda kweli.



Muulize mwajiri wangu: Mike McKee.



Imagine! Me coming for u...



Mimi na wewe twajua kuna ambalo hujalisema...funguka



Mimi na wewe?


PM Moderator, Mentor.

Nani thatha
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…