Tukianzia uzuri tu she got a gwan, tabia heshima ndio duuh she got a gwan, mpaka kwa masista duu yeea nabaki tu kusema uuuh she got a gwan..R I P . tuchanie mistari yake basi tujikumbushe
Fig q alitisha sana kwenye hii lineKipaji ka ngwear,
Bahati mapande aliwagea
Ilikuaje waache ulaji wa mjani ukamuelemea?
Ghetto LanguR I P . tuchanie mistari yake basi tujikumbushe
Ukiniletea ki base asubuhi tu talaka.... Afu kuna mwehu anaitika "kwenu"Wengine nyinyi mnapenda vya
kupewa ndo mana wengi wenu mnaishia kuchezewa mnamegwa mnaachwa na hata mkiolewa ndoa
inajaa visa na kuonewa mfano me
narudi muda nao taka na ukiniletea kibuli huwa ni asubuhi talaka!!
Wengine mnapenda sana vya kupewa..ndo maana mwisho wake mnaishia kuchezewa ...MNAMEGWA MNAACHWA X2......Kipaji ka ngwear,
Bahati mapande aliwagea
Ilikuaje waache ulaji wa mjani ukamuelemea?