Jaman mie enzi za Bongoman ndio nilikua natambua mambo ya mziki,mama yangu alikua ananifunga kitamba kiunon na kunifundisha kukata mauno na mwendo wa kwasa kwasa lol!na mie wa enzi atiii!
Cant help falling in love..
Red red wine..
Kingston town..
Kanda alipiga kitu ya baba Moi, ilikuwa inafanya kwenye mojawapo ya TV za hapo Kenya, mrembo kiaina.
Noma ikawa juu ya noma wakati Kanda alipovuta nyomi ya nguvu kwenye show yake, Moi alikuwa na mkutano at the same time, mkutano wake uka doda, watu wote wako kwa Kanda, akampa Kanda masaa 48 kama sikosei aondoke Kenya kwa madai kwamba ni hatari kwa usalama wa Kenya!lol!
ISAMBE wa kanda bongo man huu wimbo ulitesa sana.Wimbo mwingine unaitwa Inde Monie nakumbuka mwaka 1991 alifanya show uwanja wa Taifa(sasa uwanja wa uhuru au shamba la bibi) alijaza watu mpaka wengine walikatazwa kuingia ndani.
Jaman mie enzi za Bongoman ndio nilikua natambua mambo ya mziki,mama yangu alikua ananifunga kitamba kiunon na kunifundisha kukata mauno na mwendo wa kwasa kwasa lol!na mie wa enzi atiii!
Mh thats very very abnormal sema tukuchangie upelekwe india
Unaruhusiwa mkuu...enzi za Mapenzi yananivunja mgongo"Na sisi wa enzi wa nyimbo kama "shingo ya upanga" tunaruhusiwa kujikumbushia humu? Ule wimbo wa "wanyama wakali" hadi RTD wakautumia kwenye kipindi chao cha "Jioni Njema" kweli ilikuwa balaa!!
Teh teh teh sa si tunataka kukusaidia upate sehemu ya kutolea haja we unataka Nissan March kha!
Omba special request atolewe kwenye BAN angalau kwa muda tu ili akufurahisheNangoja nini dunia ennhe bila kuwa na wewe mwenye shingo ya Upanga. Mwendo wa maringo hatua za hesabu ni wewe mpenzi wangu mwenye shingo upanga. Sitakuacha! sitakuacha! Sitakuacha! Milele na daima. Dah!! Natamani binti wa mmoja wa Kariakoo aje atukumbushie enzi zile mambo ya Jamhuri na Dar Jazz lakini ndiyo hivo tena kapigwa BAN.
KANCHEKESHA!!
Mkuu soma vyema, Kanda alikimbiza kitu(nyumba ndogo) ya "Baba Moi", aliyekuwa mtangazaji wa TV mojawapo Kenya.Na Moi Ndivyo walikuwa wakimwita wakenya, alipewa "ubaba wa Taifa"baba Moi....No...hiyo inaitwa Nakae Nairobi aliimba Mbili abel.., Kanda aliachia Kitu Bili..kikamkuna mke wa Moi aka amka akaenda kuta mauno na Kanda B. Moi aka kasirika ndio akatoa hiyo order !
Hujanishinda mm na mdogo wangu, inawekwa hapo chini sarafu ya sh 5 au ishiri ile ya mwinyi mnaambiwa atakae kata kiuno zaid ni yake, inaachiwa Inde..indee...indeee monieeeee weweeee!
mh. wakubwa wanafaidi jamani. Umejifunza kukata viuno toka enzi ya Bongoman.Nina uhakika hata Ray C hatii maguu kwako kwenye suala la KUKATA VIUNO.