Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
hiyo id yako imenikumbush piipiii...muv zat wei ni.....
ng'wanike sema tu wataalam wa lugha watakurekebisha
Jaman mie enzi za Bongoman ndio nilikua natambua mambo ya mziki,mama yangu alikua ananifunga kitamba kiunon na kunifundisha kukata mauno na mwendo wa kwasa kwasa lol!na mie wa enzi atiii!
Kuliwahi kutokea kikatuni kimoja maarufu sana kilikuwa kinaitwa Joyce wo wo wo, nakumbuka pale mwenge ndo yalikuwa maskani yake kilikuwa kinacheza Inde monie na isambe balaa.....mauno ya kufa mtuAcha kabisa mwanakwetu, watu tumeunguza mno mboga hapo kwa ajili ya kukata mauno!! Tena kama siku za sikukuu ndo kama mashindano vile, mradi upewe kachenji ka kwenda kutembelea au unaongezea alafu unaenda photo studio kupiga picha.....lol!!!
Kuliwahi kutokea kikatuni kimoja maarufu sana kilikuwa kinaitwa Joyce wo wo wo, nakumbuka pale mwenge ndo yalikuwa maskani yake kilikuwa kinacheza Inde monie na isambe balaa.....mauno ya kufa mtu
Dah umemsahau Queen Latifah na Lil Kim hapo, wale TLC ndio walikuwa Tiboz, lisa lopez aka Left eye na Chili unakumbuka wimbo wa Unpretty? Halafu kulikuwa na SWV (sisters with voices), Blaque na wale walioimba i swear walikuwa wanaitwa All 4 One, halafu kulikuwa na Soul 4 Real, Az Yet na mengine kibao.nakumbukaaa kina trece maa ''not by nature" jamboriiiii...nakumbukaa kipindi cha kina mc hammer,marehemu HEAVY D,TLC kunaa dadaa alikuwa anaitwa left eyes nilikuwaa na mkubaliii,KINA DA BRAT,MC LIGHT...UKIRUDI KWENYE KUNDI KUNA COOL & GANG,kwa wa R&B kunaa chalii alikuwa anaitwa celvin tempall,warrey n g,...na kunaa kundi waliimbaa wimbo ''i swear..by the moon and the star in the sky,i swear................."
Dah umemsahau Queen Latifah na Lil Kim hapo, wale TLC ndio walikuwa Tiboz, lisa lopez aka Left eye na Chili unakumbuka wimbo wa Unpretty? Halafu kulikuwa na SWV (sisters with voices), Blaque na wale walioimba i swear walikuwa wanaitwa All 4 One, halafu kulikuwa na Soul 4 Real, Az Yet na mengine kibao.
Dah nakumbuka enzi hizo kama we ni mpenzi wa soul na blues lazima uwe na tape ya Tevin Campbell asee. Hii ilikuwa kabla ya Aaaliyah na Brandy hawajaibuka......i wanna be down" na baadae The boy is mine
Nimekumbuka niliona post moja ya mtu anasema kajua jinsia yako nikacheeeeka sana. Anyway uliwahi kucheza kwenye show za harusini?
Hahahahaha nilipokuona uko kimya nikajua ushashikwa pabaya tayari
Teh teh haya wee binti/Mvulana Kongosho