Nakumbuka Sana vitu vya nyuma

Nakumbuka Sana vitu vya nyuma

Joined
Mar 12, 2025
Posts
64
Reaction score
88
Wakuu Habari Mimi Bhnaaa Ni Kijana Nipo Tu Kwenye Harakati Za Maisha Sasa Hivi Karibuni Nakuwa Nawaza Sana Maisha Yangu Ya Nyuma, Yaaani Udogoni, Sometimes Hata Nilivyokuwa Napitua Baadhi Ya Changamoto Zangu Za Maisha, Yaaani Kila Siku Lazima Niwaze Mambo Yangu Ya Nyuma Hii Kitu Imenipelekea Kuwa Na Stress Sana Itaweza Ikawa Ni Tatizo Gani Wakuu?
 
Back
Top Bottom