Nakumbuka wakati rais anawaapisha wateule wake ma-RC, DC, DAS, DED alipiga marufuku kufanya sherehe zisizo za lazima ikiwa ni mwendelezo wa kubana matumizi, alisema, "yeyote atakayefanya sherehe ya kujipongeza aandae pia sherehe siku ya kutumbuliwa".
Alizuia sherehe ya siku ya Ukimwi duniani, alizuia sherehe ya kuzima mwenge, alizuia sherehe ya Uhuru.
Mkuu wa mkoa wa Dar anatoa wapi ujasiri wa kupingana na bosi wake.
Alizuia sherehe ya siku ya Ukimwi duniani, alizuia sherehe ya kuzima mwenge, alizuia sherehe ya Uhuru.
Mkuu wa mkoa wa Dar anatoa wapi ujasiri wa kupingana na bosi wake.