YEEEES!
atoto wangu kamaliza mgomo wake wa kunichunia... sasa bado mpwa wangu
geniveros!! Wallah inabidi sasa niwe na marafiki wa kada mbalimbali ili siku ukiwapa vitasa hawa; wakikuchunia unabaki na wengine!! Nimekoma kuwa na marafiki walimu peke yake!
atoto unafahamu ma-lawyer na manesi humu nipange nao urafiki ili niwe na substitution ikitokea siku nimewapa vitasa tena halafu mkanichunia?!