Nakumbuka: Part II

hayo ya Mentor tuweke pembeni!
hili la kukumiss hakiiiii naumwaaaaaaa!
 
hayo ya Mentor tuweke pembeni!
hili la kukumiss hakiiiii naumwaaaaaaa!

Unajua mwalimu uache utani..niko bize hapa nasubiria busara from you!!

Imbombo ngafu, kuna wanaoichukulia kiimani zaidi na kuna wanaoitetea kimwili zaidi.

either way mtazamo wangu ni lazima kuwe na mfuatano wa mambo katika kuangalia compatibility. Na kwa njia yoyote ile (kiimani au kimwili) physiological compatibility ni muhimu and foremost kuliko physical compatibility.

Lazima ujue kuwa hiyo sexual compatibility (ni ya muhimu sawa) lakini inatumika zaidi kwa miaka michache ya ndoa kuliko kuwa na mwenza ambaye mna nia mamoja, ni rafiki yako, you can be happy with, etc etc...maana sex 'the act' is a moment of a few minutes...than life itself!!!!
 
Hii kitu hii!!!
 
Halafu atoto kuna kitu kinaniambia you have something to say na sijui kwa nini husemi...share your knowledge/experience...hakuna majibu sahihi au mabaya!!!!
Hahahaaaa!! Naona uvivu kuandika bwana, wish ningemwambia Heaven Sent then aandike maana ndio anayawezea magazeti.
 
hayo ya Mentor tuweke pembeni!
hili la kukumiss hakiiiii naumwaaaaaaa!
yaani I don't see any seriousness in you my, you know where to get me. I guess utakuwa unaumwa nywele. Jokes aside, what are cooking maana umekua adimu kuliko pesa za rushwa.
 
MKUU SAMAHANI UNA UMRI GANI?
 
MKUU SAMAHANI UNA UMRI GANI?

This should help...

Kijijini...1961

Nakumbuka enzi za mwalimu! Ndiyo kwanza tulikuwa tumepata uhuru nami ndiyo nilikuwa najiunga na darasa la kwanza. Hayakuwa maisha marahisi kwani pamoja na kubahatika kwenda shule bado kulikuwa na majukumu mengi nyumbani.
 
hujaacha kuwa na akili nyingi Mentor ,hakiiii hujaaacha!
na hii tu unajua ndo sababu nakupenda.
 
yaani I don't see any seriousness in you my, you know where to get me. I guess utakuwa unaumwa nywele. Jokes aside, what are cooking maana umekua adimu kuliko pesa za rushwa.
nionee huruma!
A lot had happen hakiii,nionee huruma tu kuhusu pa kukupata!
hakyamama nakumiss mpk dah!
na huku JF sijui walinitangazia NOTE OF POPOTE ALIPO AKIONEKANA MKAMATENI!
PLS usiniwie mkali!
 
Dah, najuta kwa kukuamini siku zote, hebu niambie na ile ya kuathirika ni story tu?
 
Unapenda kunichokoza na wewe na mimi ni watoto wa babu mmoja Asprin!

au unataka nini kwangu???? [HASHTAG]#abomination[/HASHTAG]
Ujukuu wenu hauna mipaka.....

Natoa baraka kwenye muungano wenu wa kijinsia....

Via vya uzazi vyenu na vikafungamane kwa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…