NAKULA UJANA WANGU DAR ES SALAAM

Freddy.Freddy

Senior Member
May 29, 2015
105
44
Vp Washikaji?

Hili jiji lenu la Dar Es Salaam limenifurahisha kweli. Its the most lively city on the eastern side of Africa. Nakula ujana wangu Dar na nimepapenda kweli. Nashukuru mungu kwa kuliumba hili jiji. Baadhi ya mambo yanayofanya nipende Dar:

1. Beach, ingawa beach zenu wabongo ni chafu, sio safi kama za kwetu mombasa. beach za mombasa ni nyeupe, white sandy beaches, and very clean yani unaweza kuogelea bila issue. cocoa beach, kunduchi zote sio safi kiasi cha kuogelea ila zile hoteli ndio show yenyewe
- mbalamwezi
-kunduchi
-south beach (favorite)
-jangwani
-ramada
-landmark

hizo hoteli zte ziko na beach hapo pembeni mwa bahari na hapo ndio bata wangu yupo.

2. Baikoko
Hamna kitu kizuri kwa afya ya mwanaume kama Baikoko! I enjoy Baikoko sana, haswa Jumatano pale Maisha basement. Kiingilio ni Ths. 10,000 tu!

Singeli musziki pia ni moto wa kuotea mbali. Hivi vitu vya uswahilini vinanifurahisha sana

3. Bhajaji
napenda sana kubebwa kwenye Bhajaji, vinanyoendeshwa hivo vimashine inanibamba sana, na bhajaji iko na speed sana hatari. usiku wakati hamna foleni, kutoka mwenge hadi kinondoni usiku ni chini ya dakika tano.

4. Clubbing
Maisha Basement
high spirits
Biricanas
africa sana (club yenyewe mbovu, ila yule DJ wao ako vizuri)
George n Dragon
Samaki Samaki

5. wanawake
hawa wanawake wenu wa kibongo wazuri kweli, wanavaa gauni bila panty unaweza kuona malighafi vizuri sana. tatizo ni huwa wamezoeshwa hela, ni vigumu sana wakupe mzigo ikiwa hutawapa hela.
 
Pale mbongo anapoigiza yeye ni Mkenya
Pale mbongo hana pesa na ni weekend akaamua kushika simu na kuamua kulifanyia matumizi bundle lake la siku!
Pale mbongo anapoachwa home alinde nyumba na yupo bored hana company,hana kitu cha kufanya,hakuna cha maana cha kuangalia katika king'amuzi basi utamkuta JF akianzisha threads za type ya huyu mtu
 
Back
Top Bottom