Wewe ni muongo. Na kama hiki unachokisema hapa ni kweli, niambie ulienda hospitali gani ambayo Daktari alitaka kukuingiza kidole ili akupime.Hospitali nimeenda doctor akadai aniingize kidole nipime nikakataa
Una chronic ulcers, wahi matibabuKama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana.Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.
Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi.Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi.Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.
Nakula kidogo nashiba haraka Sana.Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.
Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.
##Soso Take my pain###
Amalizie na kabichiKula papai lililoiva sana, utanishukuru baadae.
Kwann sasa?Hospitali nimeenda doctor akadai aniingize kidole nipime nikakataa
sawa mkuu,Ukiweka ndimu minyoo hakuna mkuu Wala taifodi
🌈Kama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana.Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.
Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi.Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi.Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.
Nakula kidogo nashiba haraka Sana.Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.
Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.
##Soso Take my pain###
Pole kwa tatizo linalo kusumbua, je Hospital umeenda?Kama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana.Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.
Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi.Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi.Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.
Nakula kidogo nashiba haraka Sana.Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.
Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.
##Soso Take my pain###
Kama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana.Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.
Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi.Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi.Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.
Nakula kidogo nashiba haraka Sana.Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.
Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.
##Soso Take my pain###
Endelea hivyo hivyo, watakuja kukuingiza mkono wavute maviHospitali nimeenda doctor akadai aniingize kidole nipime nikakataa
Uzi uishie hapaMlenda au bamia inakuhusu saana
Pole japo.nimecheka.sana kusema umekula.mkungu wa Ndizi. Sujajua ni Mbichi ulizopika au za kuiva?Ngoja nijaribu mkuu Jana nimefukia mkungu wa ndizi matokeo ni kukosa choo na mgongo kuuma
hiyo ni tiba mkuu asiogope...Kwann sasa?
Hutaki kupona?
Ataishi pekee yake?Wewe Ukijenga nyumba, huna haja ya choo mkuu.
Bugia vile vidoge vya yutiai ..Kama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana.Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.
Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi.Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi.Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.
Nakula kidogo nashiba haraka Sana.Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.
Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.
##Soso Take my pain###
Piga azumaKama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana.Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.
Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi.Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi.Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.
Nakula kidogo nashiba haraka Sana.Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.
Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.
##Soso Take my pain###
Piga AZUMA....maji mengi ya kutosha....piga kambi jirani na choo....Kama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana.Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.
Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi.Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi.Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.
Nakula kidogo nashiba haraka Sana.Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.
Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.
##Soso Take my pain###
Duuuu yu pipe,mbavu zangu mieWewe Ukijenga nyumba, huna haja ya choo mkuu.