Nakukumbusha mambo 50 kuhusu mkeo

Upo sawa kabisa. Mimi ni mwanaume, ila sipendi wanawake wanyanyaswe katika ndoa. Ndoa sio jela, inapaswa kuwa paradiso kwa mume na mke kabla kifo hakijatenganisha. Uwa najiuliza nitajikiaje nikiona dada yangu au binti yangu akija kunyanyaswa? Hivyo ukiheshimu mwanamke na kumtunza vema ni heshima na faraja sio kwake tu bali kwa kaka zake, baba zake, wajomba zake ambao ni wanaume wenzako. Asante.
 
Acheni drama
Kwanza nyie wanawake mshaambiwa ni wanyonyaji tu (sio wote) ndio maana wengi wenu hamtaki kufanya kazi mnataka mkae nyumbani tu, na ikitokea mkatoa support kwa mwanaume basi mtamsimanga mwaka mzima.
 
Yamekugusa!
 
Sawa umeongea points za maana.
Lakini je wanaelewa yawapasayo kutenda na wao?

Ni mambo mazuri sana ukimpata mnayeendana kimatendo na mawazo ya kulijenga na kuliendeleza penzi motomoto.
 
Mwanamke ukimdekeza sana anakuzoea....sometimes makofi ya uso yanawapaga adabu....
 
Wanawake kwa kujisifuuu aah haya ehπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Na ndiyo maana wana VYAMA kibao mpaka na siku yao... kuanzia vya vya madaktari, wanasheria, benki ya wanawake..etc etc... lakini badooo
 
Unajua wanawake wanapigana "senseless war", kuna "matrixs" walishapewa kuhusu ukandamizaji toka kwa wanaume, sasa rejea asili, hapa tutumie tuu andiko la asili ya binadamu, "Vitabu vitakatifu/tukufu", haki inatokana na wajibu, MUNGU aligawaa duties tofauti, kwa nini tupate haki sawa?. Yaani haki ya mwalimu achukue afandeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

yaani nilimuuliza mwanamke mmoja, akaniambia kwamba anataka kuwa kama mwanamume, and she real fights, sasa unajiuliza ina maana mwanamume ndie mwanadamu kamili au? what if akapigana kuwa yeye kama yeye, wanasiasa wamewalisha matangopori. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Na ndiyo maana wana VYAMA kibao mpaka na siku yao... kuanzia vya vya madaktari, wanasheria, benki ya wanawake..etc etc... lakini badooo
mlevi akishajijua ni dhaifu, hurudi kwake akiwa anajihami kwa maneno ya kujifariji njiani.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Tatizo wanawake wa sasa hata ukawafanyia jema gani hawaridhiki kabisa, ila sio wote japokuwa wengi wao sasa hv hawana mapenz ya dhat,mwanaume ukipenda na kujali ndo wanakuona mjinga..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…