Nakukumbusha mambo 50 kuhusu mkeo

Nakukumbusha mambo 50 kuhusu mkeo

kidaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
2,997
Reaction score
2,577
MAMBO 50 KUHUSU MKEO
1. Mkeo sio mkamilifu, msamehe.
2. Mkeo ndio uti wako wa mgongo,
usiuvunje.
3. Mkeo ni tunu, mthamini.
4. Mkeo ni kito adimu, mtunze.
5. Mkeo ni rafiki yako bora, mfanye
kuwa rafiki yako.
6. Mkeo ni furaha yako, mnawirishe.
7. Mkeo anatakiwa kuwa bora kabisa,
mchangamkie.
8. Mkeo ni pande la mwili wako,
mstawishe.
9. Mkeo sio ibilisi, usimpige teke.
10. Mkeo sio mzuri tu kitandani,
mshirikishe katika kila jambo.
11. Mkeo sio adui yako, mshajiishe.
12. Mkeo sio kikaragosi, usikubali
akachezewa na watu.
13. Mkeo sio hasimu wako, usishindane
naye.
14. Mkeo ni mwanamke, mheshimu.
15. Mkeo sio mtu wa kawaida,
usimlinganishe na wengine.
16. Mkeo sio sahani ya kunawia,
usimdhalilishe.
17. Mkeo ni kama chombo laini,
shughulika naye kwa uangalifu.
18. Mkeo ni malkia maridhawa,
muadhimishe.
19. Mkeo sio bondia, usipigane naye.
20. Mkeo sio begi la mazoezi ya ngumi,
usimpige.
21. Mkeo sio mchezo, usimchezee.
22. Mkeo anahitaji kunyegeshwa,
msimbake.
23. Mkeo ni sumaku, nasa kwake.
24. Mkeo ndio gwiji wa mahabba, msifu.
25. Mkeo ni mtu muhimu, mpe taadhima.
26. Mkeo ndiye mkeo, mkubali.
27. Mkeo ndio mzinga wa asali yako,
mfukuzie.
28. Mkeo anahitaji taadhima yako,
usimuaibishe hadharani.
29. Mkeo sio kisu, ishi naye kwa wema.
30. Mkeo ni wa kipekee, usimdhihaki.
31. Mkeo ni mwenye kukuenzi, usimtilie
shaka.
32. Mkeo sio mpumbavu, sikiliza ushauri
wake.
33. Mkeo sio habithi, usimfanyie
uhabithi.
34. Mkeo ndio rafiki mwenye muamana,
mfanye kuwa rafikiyo.
35. Mkeo sio leso, usimtumie vibaya.
36. Mkeo sio mfanyakazi wako wa ndani,
msaidie jikoni.
37. Mkeo ni mwenye ashiki, usiache
kumuenzi.
38. Mkeo ni muhimu sana kwako,
usimtelekeze.
39. Mkeo ni malkia muadhama, usizozane
naye.
40. Mkeo ndio mmiliki wa kiti cha moyo
wako, msaidie akikalie vizuri
41. Mkeo ana akili, usimshushe thamani.
42. Mkeo ni jukumu lako, mhudumie.
43. Mkeo ndio wewe mwenyewe, usimtenge
kitandani.
44. Mkeo ni namba moja katika maisha
yako, mpe kipaumbele.
45. Mkeo ni hazina yako, ilinde na
uitunze.
46. Mkeo anahitaji usaidizi wako, msaidie.
47. Mkeo anahitaji umakini wako,
usimakinike kwenye T.V
48. Mkeo ni mwenye thamani, muongezee
thamani.
49. Mkeo ndio taji lako, usimuache.
50. Mkeo ndio Layla wako, uwe Majnun
wake.

Tuwapende wake zetu
 
UNAWEZA FANYA YOOOOOTE NA BADO MWANAMKE AKAKIMBIA.MWANAMKE HAAMINIKI NA HAPENDEKI KAMWE.
 
Ngojera nyiiiiingiiiiiiiiii hadi zanachoshaga kusoma bwana
 
UNAWEZA FANYA YOOOOOTE NA BADO MWANAMKE AKAKIMBIA.MWANAMKE HAAMINIKI NA HAPENDEKI KAMWE.
tapatalk_1494508699562.jpeg

Naomba nisiongeze neno
 
yaaan wanaume wa siku hizi mnavyopenda kulalama wanawake wanasubiri
mbona mama zenu mpaka leo hii wako kwenye ndoa zao,au baba zenu wana mioyo ya vyuma
eti wanawake ata uwapende vipi hawapendeki,cjui hawathaminiki
wanazingua temana nao fanya vitu vingine,kwani lazima kuwapa nafasi katika maisha yako

mtoa mada heko kwako,nimekulove bure

NOTE :sijamquote mtu mie,maoni yangu tu
 
mwanamke mwanamke mwanamke mwanamke!!!!!!!!!!!!
!tuwapende wanawake tu
 
MAMBO 50 KUHUSU MKEO

1. Mkeo sio mkamilifu, msamehe.

2. Mkeo ndio uti wako wa mgongo, usiuvunje.

3. Mkeo ni tunu, mthamini.

4. Mkeo ni kito adimu, mtunze.

5. Mkeo ni rafiki yako bora, mfanye kuwa rafiki yako.

6. Mkeo ni furaha yako, mnawirishe.

7. Mkeo anatakiwa kuwa bora kabisa, mchangamkie.

8. Mkeo ni pande la mwili wako, mstawishe.

9. Mkeo sio ibilisi, usimpige teke.

10. Mkeo sio mzuri tu kitandani, mshirikishe katika kila jambo.

11. Mkeo sio adui yako, mshajiishe.

12. Mkeo sio kikaragosi, usikubali akachezewa na watu.

13. Mkeo sio hasimu wako, usishindane naye.

14. Mkeo ni mwanamke, mheshimu.

15. Mkeo sio mtu wa kawaida, usimlinganishe na wengine.

16. Mkeo sio sahani ya kunawia, usimdhalilishe.

17. Mkeo ni kama chombo laini, shughulika naye kwa uangalifu.

18. Mkeo ni malkia maridhawa, muadhimishe.

19. Mkeo sio bondia, usipigane naye.

20. Mkeo sio begi la mazoezi ya ngumi, usimpige.

21. Mkeo sio mchezo, usimchezee.

22. Mkeo anahitaji kunyegeshwa, msimbake.

23. Mkeo ni sumaku, nasa kwake.

24. Mkeo ndio gwiji wa mahabba, msifu.

25. Mkeo ni mtu muhimu, mpe taadhima.

26. Mkeo ndiye mkeo, mkubali.

27. Mkeo ndio mzinga wa asali yako, mfukuzie.

28. Mkeo anahitaji taadhima yako, usimuaibishe hadharani.

29. Mkeo sio kisu, ishi naye kwa wema.

30. Mkeo ni wa kipekee, usimdhihaki.

31. Mkeo ni mwenye kukuenzi, usimtilie shaka.

32. Mkeo sio mpumbavu, sikiliza ushauri wake.

33. Mkeo sio habithi, usimfanyie uhabithi.

34. Mkeo ndio rafiki mwenye muamana, mfanye kuwa rafikiyo.

35. Mkeo sio leso, usimtumie vibaya.

36. Mkeo sio mfanyakazi wako wa ndani, msaidie jikoni.

37. Mkeo ni mwenye ashiki, usiache kumuenzi.

38. Mkeo ni muhimu sana kwako, usimtelekeze.

39. Mkeo ni malkia muadhama, usizozane naye.

40. Mkeo ndio mmiliki wa kiti cha moyo wako, msaidie akikalie vizuri

41. Mkeo ana akili, usimshushe thamani.

42. Mkeo ni jukumu lako, mhudumie.

43. Mkeo ndio wewe mwenyewe, usimtenge kitandani.

44. Mkeo ni namba moja katika maisha yako, mpe kipaumbele.

45. Mkeo ni hazina yako, ilinde na uitunze.

46. Mkeo anahitaji usaidizi wako, msaidie.

47. Mkeo anahitaji umakini wako, usimakinike kwenye T.V

48. Mkeo ni mwenye thamani, muongezee thamani.

49. Mkeo ndio taji lako, usimuache.

50. Mkeo ndio Layla wako, uwe Majnun wake.
 
Wanawake kwa kujisifuuu aah haya eh😀😀😀😀😀
 
Kuntu
 
Umeandika vingi vizuri ila walio wengi wanataka yale ya Mke hapaswi kugusa simu yako, mke hapaswi kuuliza ukichelewa kurudi, Mke mmoja analemaza hivyo lazima uwe na mchepuko na mengine mengi yasiyojenga na hayo ndio wanapenda kuyasikia. Ila haya mmh.

Pia nikupongeze Mkuu sababu kwa wenye akili baadhi yatawafaa tena sana tu.
 
Back
Top Bottom