Full Moon JF-Expert Member Joined Oct 29, 2012 Posts 346 Reaction score 122 Feb 15, 2013 #81 kwamtoro said: Mimi kwa jinsi nilivyo mpenda wangu. Niliweka nadhiri mbele ya halaa kifo akiwezi kututenganisha. Leo nipo nagaragara juu ya kaburi lake, nimelipamba maua tu. Kwa hakika nampenda Click to expand... Pole sana na Muumba wetu atakuwa nawe tu.
kwamtoro said: Mimi kwa jinsi nilivyo mpenda wangu. Niliweka nadhiri mbele ya halaa kifo akiwezi kututenganisha. Leo nipo nagaragara juu ya kaburi lake, nimelipamba maua tu. Kwa hakika nampenda Click to expand... Pole sana na Muumba wetu atakuwa nawe tu.
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Feb 15, 2013 #82 duh ... .ni kweli kutembea ni kujifunza, kukutana na watu pia unapata nafasi ya kujifunza mengi na mengi zaidi...
duh ... .ni kweli kutembea ni kujifunza, kukutana na watu pia unapata nafasi ya kujifunza mengi na mengi zaidi...