Natamani kujua alikufa kwa ugonjwa gani? Sijui kwa nini
Mimi kwa jinsi nilivyo mpenda wangu. Niliweka nadhiri mbele ya halaa kifo akiwezi kututenganisha. Leo nipo nagaragara juu ya kaburi lake, nimelipamba maua tu. Kwa hakika nampenda
hahahahhahaahahahahahahh umenchekesha sana aiseee mimi hii valentine naisikiaga tu nikiuliza naambiwa mi nshazeeka hayo ni mambo ya vijana hahaahahahahahahaahduuh pole sana
wanawake wengi tunapenda siku hii ya leo
mimi sina cha kukumbuka,majanga matupu mkuu
asante u tooohappy valentine
wachoyo wa.....pole!hiyo inatufundisha tusiwe wachoyo
Blue G uzoefu unaonesha mtu huendwa zaidi anapotoka (hasa kufariki). Kwa zaidi ya miaka miwili bado nina funda moyoni na nimeshindwa kuanzisha mahusiano mapya.
Pole sana kwa kupotewa na Mwalimu.
what a sad story,imenigusa sana,pole sana mkuu
ungemkopi wife hii msg!!