Mwenye mtoto alifuata mke wake.Ni mwaka sasa unakaribia kuisha tangu uamue kuniandikia ujumbe wa kuhitaji talaka baada ya ndoa yetu kudumu kwa miaka miwili na miezi minane tu.
Bado nakukumbuka sana mpenzi. Sichoki kukumbuka nyakati nzuri ambazo tulikaa pamoja. I still remember that glorious morning in the church, in that beautiful dress, you looked beautiful dear.
Sijajua ulikutana na changamoto gani ya kuhitaji talaka na ukaamua kutokuwa hewani bila kujua maumivu ninayopitia. I miss my little girl, G. Najua utasoma ujumbe wangu hapa JF.
Ni uamzi mzuri kuondoka lakini I just need one more chance to say a word to my little angel.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alisikika kichaa mmoja chumba cha pili.
Pole sana sana Ndugu Yangu, pole mnooooo! Naelewa situation unayopitia kama Baba na kama Mwanaume mwenzangu! Yatapita, Endelea kumuomba na kumshukuru Mungu, I can feel vile unavyom-mise your Little Angel. Wanawake wa Kisasa tabu tupuNi mwaka sasa unakaribia kuisha tangu uamue kuniandikia ujumbe wa kuhitaji talaka baada ya ndoa yetu kudumu kwa miaka miwili na miezi minane tu.
Bado nakukumbuka sana mpenzi. Sichoki kukumbuka nyakati nzuri ambazo tulikaa pamoja. I still remember that glorious morning in the church, in that beautiful dress, you looked beautiful dear.
Sijajua ulikutana na changamoto gani ya kuhitaji talaka na ukaamua kutokuwa hewani bila kujua maumivu ninayopitia. I miss my little girl, G. Najua utasoma ujumbe wangu hapa JF.
Ni uamzi mzuri kuondoka lakini I just need one more chance to say a word to my little angel.
Haipogo hivyo pleaseVery sad, but keep in mind that "the number of women is greater than that of men" ask your God to choose another for you.
Umeoa? Una Watoto??Be a man bwana ebo!! Hii mwanaume kulia lia hii to me hapana!! It has gone it has gone. Kwan mmezaliwa tumbo moja huyo????
Wengi ni vi-teenager havijui hata ndoa ni Nini! Kwao ndoa au familia ni MBUSUSU, wasamehekwanini ukomenti kwenye post ya mtu kwa kutukana? Guys, tuwe waungwana basi.
Yaan kutengua ndoa ni ngumu sana...Wengi ni vi-teenager havijui hata ndoa ni Nini! Kwao ndoa au familia ni MBUSUSU, wasamehe
Pole sana. Ndoa za siku hizi zina changamoto nyingi. Na bahati mbaya wanandoa wengi wanashindwa kukabiliana nazo na kuzishinda- wanaishia kutengana/kupeana talaka. Inasikitisha sana.Ni mwaka sasa unakaribia kuisha tangu uamue kuniandikia ujumbe wa kuhitaji talaka baada ya ndoa yetu kudumu kwa miaka miwili na miezi minane tu.
Bado nakukumbuka sana mpenzi. Sichoki kukumbuka nyakati nzuri ambazo tulikaa pamoja. I still remember that glorious morning in the church, in that beautiful dress, you looked beautiful dear.
Sijajua ulikutana na changamoto gani ya kuhitaji talaka na ukaamua kutokuwa hewani bila kujua maumivu ninayopitia. I miss my little girl, G. Najua utasoma ujumbe wangu hapa JF.
Ni uamzi mzuri kuondoka lakini I just need one more chance to say a word to my little angel.
et kwann mtu ateseke au hajui namna ya kujipumzisha tumuelekezeWhy suffer when you can end your life?
Umeiweke vyema sana sanaYaan kutengua ndoa ni ngumu sana...
Sa ingine unaona upendo haupo ila ile situation kuizima ni ngumu
Afu ije sasa kuna watoto
Jamani nyie
Unaona ukiondoka utawazulumu watoto haki ya kulelewa na wazazi wote..
Ndoa ni zaidi ya mbususu
Kulilia mapenzi ktk Dunia yenye watu Billion 7 ni matumizi mabaya ya akiliNi mwaka sasa unakaribia kuisha tangu uamue kuniandikia ujumbe wa kuhitaji talaka baada ya ndoa yetu kudumu kwa miaka miwili na miezi minane tu.