Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,399
- 2,617
HahahahSi wazo lake ukute tayari mwarabu keshatoa pesa hapo yeye katumwa tu kupima upepo
DuhNimekumbuka Mnazimmoja palipotaka kujengwa ngome
Inasikitisha sanamuslims dont care about small people my friend, ndiyo maana wako hivyo, hiyo beach iko for public use tangia ukoloni, kila awamu wa uislamu ulijaribu kuipora coco beach ktk kwa wananchi na kugawia matajiri wachache, alianza raisi mwinyi akagawa kwa sea cliff kwa wahindi/warabu, wakaja akina manji vivyo hivyo bahati nzuri awamu iliyofwatia ilizuia sasa wamerudi tena muslim na inaondoka hivyo na hakuna mtetezi …
Naunga mkono hoja.Nilikuwa Mombasa hivi karibuni.Nilibaini kuwa pamoja na nchi hiyo kuwa na sera za kibepari,lakini tangu enzi za Kenyatta fukwe zote zimeachwa kutumiwa bure na umma.Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Mh Albert Chalamila akiwa kwenye kikao cha ndani cha mkoa amesikika akilaani eneo la Cocobeach kuachwa wazi kwa ajili ya wananchi wote kutembelea bure kila wanapohitaji kufanya hivyo.
Chalamila amesema eneo la Cocobeach linahitaji uwekezaji mzito na wa kisasa.
Chalamila namkemea kutokana na wazo lake hilo kwa sababu hajatuambia kama hilo eneo likiwa la kulipia hao wananchi masikini wasio na hela ya kuingia Beach atawapeleka wapi.
Mh Chalamila ajue pia Tanzania ina eneo kubwa la bahari kwa ajili ya kujenga beach za kisasa anazozitaka hivyo siyo lazima ang'ang'anie kwenye eneo la wazi la Cocobeach.
Noma sanaSi wazo lake ukute tayari mwarabu keshatoa pesa hapo yeye katumwa tu kupima upepo
Inasikitisha sana sijui wataalam na viongozi wetu wao wanatembelea nchi gani na kutoka na mfumo wa kwetu.Kama kariakoo hakuna hata bustani uchwara ya kupumzika. Maeneo yote wameuza
Njaa tumboni.Inasikitisha sana sijui wataalam na viongozi wetu wao wanatembelea nchi gani na kutoka na mfumo wa kwetu.
Yaani jiji la Dar hakuna buffer zone au misitu midogo kwa ajili ya kunyonya vumbi na kupoza joto.
Akili zetu zinawaza tu kwamba kila sehemu ni kujenga. Jiji lina eneo kubwa limeachwa kuwa squatters ila tayari walishakimbilia Mabwepande kuyachakata.
Huwa najiuliza sehemu za majeshi kwenye jiji la Dar zisingekwepo Jiji lingekuaje?
Huo ujinga nako imeshaanza Dodoma pia