Dah, mangi hatari.The easiest way to kill a snake is to hit her head.
Ndugu yangu katika harakati Lema, hongera kwa ujasiri ila sio wote katika chama wana aina hiyo ya ujasiri.
Kilichoendelea kwenye uchaguzi mdogo uliopita.
Alichofanyiwa Lisu
Kupotea kwa Ben Saanane
Kuwekwa ndani kwa viongozi wakubwa katika chama
Mambo hayo hapo juu yametuma ujumbe tofauti tofauti, kwa watu tofauti tofauti,namna tofauti.
Watu jasiri kama wewe wameuelewa tofauti
Opportunist kwenye siasa wameelewa tofauti
Watu dhaifu na waoga katika roho wameelewa tofauti.
Power mongers wameelewa tofauti pia.
Ila katika yote
Our tormenter in todays politics is a 'mere mistake,bad fortune,an accident to be corrected'
Somebody should be brave enough to make a decision.
And I trust nobody more than you.
Mateso yetu yasitufanye tudharauliwe, zaidi yasitufanye tuonekane dhaifu.
Try to stay alive brother, there is no rationality in thinking anymore.
Try to think fast also,
Ujinga kukiri kununuliwa!CCM wamekosa watu wenye uwezo mkubwa wa ubunifu sasa wananunua wapinzani kwa gharama kubwa sana, hii ni aibu kwa chama kikongwe
CCM wamekosa watu wenye uwezo mkubwa wa ubunifu sasa wananunua wapinzani kwa gharama kubwa sana, hii ni aibu kwa chama kikongwe
Nadhani ujinga wa kwanza ni kununua.
....Unatumia pesa ya umma kununua wapinzani, halafu unatumia tena pesa ya umma kuitisha uchaguzi feki...matumizi mabaya sana ya pesa za umma huku mshahara mnaongeza kiduchu na hali ya uchumi inazidi kuzorota...Kama kuna chama kinatengeneza pia bidhaa za kununuliwa basi hicho ndio chama dhaifu zaidi. Sio kila mwanamke mwenye shida hujiuza Bali yule aliyekosa malezi na miongozo mizuri ya kuuthamini utu wake. Tulikumbuke hilo pia.
Mimi nawashangaa sana, hivi mwanaume unaliaje kuwa unanunuliwa na wanaume wenzako. Ulikuwa wapi wakati unanunuliwa, usingizini!Nadhani ujinga wa kwanza ni kununua.
....Unatumia pesa ya umma kununua wapinzani, halafu unatumia tena pesa ya umma kuitisha uchaguzi feki...matumizi mabaya sana ya pesa za umma huku mshahara mnaongeza kiduchu na hali ya uchumi inazidi kuzorota...
Na wwe unajiuza bei gani!?Nadhani ujinga wa kwanza ni kununua.
Anayenunua ni mpumbavu sawa na mtu anayepiga punyeto, anajidanganya mwenyewe.Nadhani ujinga wa kwanza ni kununua.