Nakujibu Lema: Hatuwezi kufanya kazi chafu bila kuchafua mikono

Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
3,971
2,000
The easiest way to kill a snake is to hit her head.

Ndugu yangu katika harakati Lema, hongera kwa ujasiri ila sio wote katika chama wana aina hiyo ya ujasiri.

Kilichoendelea kwenye uchaguzi mdogo uliopita.
Alichofanyiwa Lisu
Kupotea kwa Ben Saanane
Kuwekwa ndani kwa viongozi wakubwa katika chama

Mambo hayo hapo juu yametuma ujumbe tofauti tofauti, kwa watu tofauti tofauti,namna tofauti.
Watu jasiri kama wewe wameuelewa tofauti
Opportunist kwenye siasa wameelewa tofauti
Watu dhaifu na waoga katika roho wameelewa tofauti.
Power mongers wameelewa tofauti pia.

Ila katika yote
Our tormenter in todays politics is a 'mere mistake,bad fortune,an accident to be corrected'
Somebody should be brave enough to make a decision.
And I trust nobody more than you.

Mateso yetu yasitufanye tudharauliwe, zaidi yasitufanye tuonekane dhaifu.
Try to stay alive brother, there is no rationality in thinking anymore.
Try to think fast also,
 
REALNEGRONEVABROKE

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
2,944
2,000
Mtu mmoja hawezi kufanikisha ushindi, timu inahitajika.

Lakini katika timu lazima watokee watu wa kukata tamaa, na ndiyo hao tunao waona wakinunulika na kuudharau UTU wao.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
8,467
2,000
The easiest way to kill a snake is to hit her head.

Ndugu yangu katika harakati Lema, hongera kwa ujasiri ila sio wote katika chama wana aina hiyo ya ujasiri.

Kilichoendelea kwenye uchaguzi mdogo uliopita.
Alichofanyiwa Lisu
Kupotea kwa Ben Saanane
Kuwekwa ndani kwa viongozi wakubwa katika chama

Mambo hayo hapo juu yametuma ujumbe tofauti tofauti, kwa watu tofauti tofauti,namna tofauti.
Watu jasiri kama wewe wameuelewa tofauti
Opportunist kwenye siasa wameelewa tofauti
Watu dhaifu na waoga katika roho wameelewa tofauti.
Power mongers wameelewa tofauti pia.

Ila katika yote
Our tormenter in todays politics is a 'mere mistake,bad fortune,an accident to be corrected'
Somebody should be brave enough to make a decision.
And I trust nobody more than you.

Mateso yetu yasitufanye tudharauliwe, zaidi yasitufanye tuonekane dhaifu.
Try to stay alive brother, there is no rationality in thinking anymore.
Try to think fast also,
Dah, mangi hatari.
 
domokaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2010
3,533
2,000
CCM wamekosa watu wenye uwezo mkubwa wa ubunifu sasa wananunua wapinzani kwa gharama kubwa sana, hii ni aibu kwa chama kikongwe

Kama kuna chama kinatengeneza pia bidhaa za kununuliwa basi hicho ndio chama dhaifu zaidi. Sio kila mwanamke mwenye shida hujiuza Bali yule aliyekosa malezi na miongozo mizuri ya kuuthamini utu wake. Tulikumbuke hilo pia.
 
IROKOS

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
9,491
2,000
Kama kuna chama kinatengeneza pia bidhaa za kununuliwa basi hicho ndio chama dhaifu zaidi. Sio kila mwanamke mwenye shida hujiuza Bali yule aliyekosa malezi na miongozo mizuri ya kuuthamini utu wake. Tulikumbuke hilo pia.
....Unatumia pesa ya umma kununua wapinzani, halafu unatumia tena pesa ya umma kuitisha uchaguzi feki...matumizi mabaya sana ya pesa za umma huku mshahara mnaongeza kiduchu na hali ya uchumi inazidi kuzorota...
 
domokaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2010
3,533
2,000
....Unatumia pesa ya umma kununua wapinzani, halafu unatumia tena pesa ya umma kuitisha uchaguzi feki...matumizi mabaya sana ya pesa za umma huku mshahara mnaongeza kiduchu na hali ya uchumi inazidi kuzorota...

Ndio maana ya kushinda uchaguzi na kushika madaraka, unapanga na kuamua kadri inavyoonekana inafaa kwa kuwa una dhamàna na wewe ndiye utakayeulizwa. Kama kuwanunua na kuwaoa Malaya wanàojiuza imeinekana kutaleta ustawi kwa kupunguza rabsha zisizo za msingi ikiwemo kusambaza virusi vya ukimwi kwa wana ndugu borà kuwanunua na kuwaoa ili kuokoa maisha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom