Emma Simbo
Member
- Jan 28, 2018
- 44
- 15
Pamoja mkuu.Sfr njema mkuu
Njiani au huko botswana?kila kona kuna ukimwi
Kwa hili usijali mkuu.Mrejesho ni muhimu ukishapewa ushauri.
nimesoma education nimeandika hapo juu mkuu.Unaujuzi gani? Kazi za ufundi wa magari, ujenzi, umeme au charahani zinaweza kukuokoa, hata hotel and tourism kama English iko poa unaweza kupata u waiter kwenye mgahawa
[emoji15] [emoji15]Komaa na viwanda vya cherehani vya CCM, kwingineko unaenda kufa.
Kama kazi ilikua zamani kwa sasa wamejijengea uwezo nafasi zimebaki za wataalam wabobezi sana mfano daktari bingwa anaweza pata kazi haraka. Nilibahatika ni kuzuri sanaMimi ni mgeni humu nilikuwa natafuta habari za botswana nikaona humu kuna watanzania waliomba ushauri na ramani za kufika. Namimi nipeni ramani mwezi huu nataka nije huko botswana. Vipi upatikanaji wa kazi? Maisha yapo vipi? Nauli hadi kufika kwa basi na nipite njia gani nitalala siku ngapi hadi nifike?
Mliopewa ushauri nahitaji msaada wenu na wale mliopo huko nahitaji pia. Nina degree ya education 《sanaa》.
Nahitaji kujua hali ya maisha ya Namibia na Botswana
Naomba kujuzwa kuhusu upatikani wa ajira katika nchi za Botswana na Namibia
mimi mwalimu wa language ndiyo ni kazi. Kwa hiyo nikienda nitasota kama nilivyosota hapa kwetu mkuu?Nahitaji taarifa za kutosha ili niamue kusuka au kunyoa.Kama kazi ilikua zamani kwa sasa wamejijengea uwezo nafasi zimebaki za wataalam wabobezi sana mfano daktari bingwa anaweza pata kazi haraka. Nilibahatika ni kuzuri sana
dah! huaga nakupenda ww, huwez amin hua nataman kila thread nione comment yako.Unaujuzi gani? Kazi za ufundi wa magari, ujenzi, umeme au charahani zinaweza kukuokoa, hata hotel and tourism kama English iko poa unaweza kupata u waiter kwenye mgahawa
POa mkuu[emoji15] [emoji15]
Sikukatishi tamaa ila kwa sasa kazi Botswana ngumu wengi wamerudi baada ya mikataba kuisha. Wana maisha ya kizungu sana kwahiyo ukisota unasota haswaa. Kila kitu kwenye malls.mimi mwalimu wa language ndiyo ni kazi. Kwa hiyo nikienda nitasota kama nilivyosota hapa kwetu mkuu?Nahitaji taarifa za kutosha ili niamue kusuka au kunyoa.
Kwa maana hiyo mikataba ilipokwisha walinyimwa kuongeza. Asante saana naendelea kuchukua taarifa kukurupuka sio kuzuri.Sikukatishi tamaa ila kwa sasa kazi Botswana ngumu wengi wamerudi baada ya mikataba kuisha. Wana maisha ya kizungu sana kwahiyo ukisota unasota haswaa. Kila kitu kwenye malls.
Sawa kiongozi nikibahatika kufika kwake.Mpe salamu zangu King Mswati, zawadi yangu akupatie uifikishe kwangu wakati wa kurudi.