Nakuja botswana nipeni ramani wakuu.

Nakuja botswana nipeni ramani wakuu.

Kwa maana hiyo mikataba ilipokwisha walinyimwa kuongeza. Asante saana naendelea kuchukua taarifa kukurupuka sio kuzuri.
Hata ukipata hiyo kazi ni mkataba maana hawawezi watu wao kukosa kazi mgeni umeziba. Kingine, nao wana kale kaugonjwa ka kuchukia wageni kwa mbali.
 
Sikukatishi tamaa ila kwa sasa kazi Botswana ngumu wengi wamerudi baada ya mikataba kuisha. Wana maisha ya kizungu sana kwahiyo ukisota unasota haswaa. Kila kitu kwenye malls.
Duh hhata mm hili nilikua silijui
 
Back
Top Bottom