Habari!
Wanawake mlioolewa waheshimuni waume zenu, sio urafiki wangu na mumeo ni ticket ya kuniachia papuchi niifyatue.
Wameshafikisha watatu sasa mpaka naanza kuona kale ka msemo ka kikulacho ki nguoni kalikaribia kunihusu. Nashukuru Mungu nimeshinda hilo jaribu.
Hakuna kitu kinamuuma mwanaume kubaini mkewe ametafunywa na rafiki yake, ni mbaya sana.
Hii hali hutokana na nini!? Au ni kule kuaminiana au ukaribu sielewi.
Mjirekebshe plz.
unanyota ya kuliwa tigo mkuu.. kaa mbali na papuchi za watu....
hii hali inatokana na ukahaba wa mashemeji zako
ha haha ha ha ha ya kupasiwa marinda..:A S wink:Huyu ndiye miss chagga. Ana nyota ya nini huyu mkuu...ha ha ha haaaa
mkuu we uoni wanao kula wake za watu wanafanywa nini? waambie shemeji zako wakutake radhi kwa kukuomba gegedo na kutaka kukusababishia kuliwa mkuuKweli kabisa ninanyota hii!!! ebu intake radhi tafadhali
hivi hizi computer hazina mahali nipite ili nikufikie hapo ulipo tuonge vizuri unieleze hii nyota nimeipataje?mkuu we uoni wanao kula wake za watu wanafanywa nini? waambie shemeji zako wakutake radhi kwa kukuomba gegedo na kutaka kukusababishia kuliwa mkuu
ha ha aha mkuu hii nyota inakuja kwa kasi kwako mkuu ha ha ha ahahivi hizi computer hazina mahali nipite ili nikufikie hapo ulipo tuonge vizuri unieleze hii nyota nimeipataje?
shemeji nisemelee kwa mume wangumiss chagga nae ni shemeji kama walivyo wale wengine mshauri aniombe radhi haraka iwezekanavyo kabla sijamchukilia hatua za kinidhamu.
watukane mashemeji zako halafu ukiniletea mrejesho wamekununia basi nitafuta kauli yanguBado tu umeshikilia msimamo wako hutaki kuomba radhi, ok....ila hizi ID fake hizi zina siri kali.
sijui nikutongoze wewe uwe mumeHahaha...si bora ungekuwa na mume angalau ningekusemelea..!