Demarcation
Senior Member
- Jan 21, 2014
- 191
- 278
Pata na story ya upande wa pili,itakusaidia ku balance nani wa kumchukia kati ya Mama na Baba!!Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo
Baba yangu aliondoka nyumbani 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha kakuna chakula wala matumizi yeyeto ya mama na sisi wanafunzi,
Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.
Hata sisi tulipotoka shule ilibidi tuende kwenye vibarua kwa ajiri ya chakula na madaftari,sabuni na matumizi mengine,
Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefka hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
mama alikuwa na wiki mbili tangu ajifungue. Wakati mimi nasoma darasa la tatu 2011 rudia kusoma post yangu mkuu.Ulikuwa na wiki mbili ulijuaje kama kakimbia na mwanamke mwengine? Wazee miyeyisho wapo, ila nimejifunza kuwa makini sana tunapowatuhumu wazee wetu, wengi wamebeba siri nzito sana ambayo wakikuambia utajikana na utaishi maisha ya upweke sana.
Asije akawa mama Yako alikuwa nakamdomodomo sana,geuza na upande wa pili Mkuu!Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo
Baba yangu aliondoka nyumbani 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha kakuna chakula wala matumizi yeyeto ya mama na sisi wanafunzi,
Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.
Hata sisi tulipotoka shule ilibidi tuende kwenye vibarua kwa ajiri ya chakula na madaftari,sabuni na matumizi mengine,
Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefka hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Kabisa mkuu.Kuna kitu awezi muacha mke kajifungua.Subiri na wewe uwe baba ndo utajua masahibu aliyokua anapitia baba yako!!!
Wanawake ni miongoni mwa viumbe hatari especially hawa single mingle mazazi
Wwe kweli kiazi, badala uendelezi mashamba ya Urithi wa mama yako wwe unauuza!!??23 elimu ya olevo nilisoma kwa kuuza mashamba ya urithi wa mama upande wa babayake na nilitakiwa niende a level 2020 ila hela ni hamna kutokana na masaibu ya mzee watoto ameozesha watatu mahali kala zote.
NakaziaUsimchukie bali jitenge naye na maisha aliyokupitisheni liwe funzo bora utakapojaaliwa kupata familia yako
Chuki kama hiyo huzaa kisasi.. Jitajidi uzao wako usirithi visasi
Shukuru Mungu Kwa kila jambo!mama yangu tangu aolewe na baba mwaka 1986 hadi leo hawawahi kuzaa na mwanamme mwngn tofauti na baba yangu mimi, na tuko watoto 8 je mama ni singe maza?
Mkuu shem alichepuka ukamsamehe.Mimi nawapenda sana wanangu, ila kwa kitu mke wangu alinifanyia mwaka 2013 nikiwa na watoto wawili, ningeweza mtelekeza kama Baba yako alivyofanya ( Kama nisingekuwa na Imani katika Mungu)
Hawa Mama zenu sio malaika, wakati mwingine waache tu wateseke!
Mama yako anakupotezea mda tu, mfariji, ila tafuta Baba yako, atakusaidia sana na kukupa experience ya kiume ngumu aliyopitia kwa Mama yako, hawa wanawake waangalieni hivi hivi, shida sana!
Haisaidii, subiri uingie kwenye taasisi ya ndoa,utakuja kukiri hapa kuwa baba Yako alikuwa sahihi kumkimbia mama Yako,wakati mwingine sisi wanaumw tunapitia mambo magumu sana kwenye ndoa ila hatusemi Wala kumwambia mtuWakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo
Baba yangu aliondoka nyumbani 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha kakuna chakula wala matumizi yeyeto ya mama na sisi wanafunzi,
Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.
Hata sisi tulipotoka shule ilibidi tuende kwenye vibarua kwa ajiri ya chakula na madaftari,sabuni na matumizi mengine,
Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefka hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Tunakataa kufunga ndoa sio kuishi na mwanamke.Vijana ndio mnakuja hapa na mada zenu za kukataa ndoa, mnategemea watoto wazaliwe na kukuzwa kwa namna gani?
Kataa ndoa italeta single mamaz wa kutosha, watoto wanaolelewa na mama peke yao, jamii ya hovyo kabisa.
Endeleeni kukataa ndoa!
Mbona unatisha bachelorHaisaidii, subiri uingie kwenye taasisi ya ndoa,utakuja kukiri hapa kuwa baba Yako alikuwa sahihi kumkimbia mama Yako,wakati mwingine sisi wanaumw tunapitia mambo magumu sana kwenye ndoa ila hatusemi Wala kumwambia mtu
Kama baba anakuja mara moja moja, basi sio single mother, ila wadau wanachokueleza ni kuwa mama ndio anaweza kuwa msababishi.hayupo na anakuja mala moja moja