Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,018
Najua baba yako haiwezi chukia 'manii' yake..!!Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo.
Baba yangu aliondoka nyumbani mwaka 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha hakuna chakula wala matumizi yoyote ya mama na sisi wanafunzi, Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.
Hata sisi tulipotoka shule ilibidi twende kwenye vibarua kwa ajili ya chakula na madaftari, sabuni na matumizi mengine.
Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefika hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Mpe dingi 👊 maisha yaendelee kwenye maisha kuna mambo mengi sana huenda dingi alipigwa msumari akawa hajitambui Bora hata wewe dingi bado yupo wengine wamekua wanakuja pata taarifa dingi alishaga kufa muda sanaUlikuwa na wiki mbili ulijuaje kama kakimbia na mwanamke mwengine? Wazee miyeyisho wapo, ila nimejifunza kuwa makini sana tunapowatuhumu wazee wetu, wengi wamebeba siri nzito sana ambayo wakikuambia utajikana na utaishi maisha ya upweke sana.
.Ulikuwa na wiki mbili ulijuaje kama kakimbia na mwanamke mwengine? Wazee miyeyisho wapo, ila nimejifunza kuwa makini sana tunapowatuhumu wazee wetu, wengi wamebeba siri nzito sana ambayo wakikuambia utajikana na utaishi maisha ya upweke sana.
Ulitaka ukimchukia ndio atakufa.
Unamsamehe tu ila hapati kitu changu chochote........hii kubembelezana ni kulea ujinga.
Pesa zako unakula na mademu na pombe mimi za jasho langu uje kula bure tu? Huu ujinga mimi nilishaacha.
Sikufanyi kitu, wala sifatilii mambo yako ila changu cha jasho langu utakisikia kwenye redio. Maisha yanaendelea
Pwani ndio kwenye mfumo dumeKila mtu mama yake, mama yake, yaani ambao hawana ubaguzi na wazazi ni watoto wa kike, labda huku mikoa ya ukanda wa pwani wenye mfumo jike.
Kwa wanangu sihitaji sababu ya kuwatelekeza. Mke sio ndugu ni raia tu tumekutana. Ila watoto aiseeee tutarara naye mbereee, mpaka nihakikishe wametoboa ndiyo nawaacha. Wala sihitaji malipo yao.Itapendeza zaidi kama ukijua aina ya ugomvi ndiyo useme haya maneno yako!!
Posa ya Binti anapoea mama na mjomba, hivi wanaume huwa hawaamini kama ni binti yake?Pwani ndio kwenye mfumo dume
Au vipi? Walikuwa wanatutusha eti kuna laana😅😅Word.
Au vipi? Walikuwa wanatutusha eti kuna laana😅😅
ahsant sana mkuuUnamchukia kwakuwa bado yupo.
Ila akifariki ndio utajutia uamuzi wako.
Tafuta muda utengeneze nae.
Hakuna mtu muhimu kama baba, ingawa feminist wanasema nani kama mama ila nakuambia ndugu yangu Baba ni habari nyingine.
Hata kama hana hela. Ila akisema neno tu linatosha kabisa.
Unamchukia kwakuwa bado yupo.
Ila akifariki ndio utajutia uamuzi wako.
Tafuta muda utengeneze nae.
Hakuna mtu muhimu kama baba, ingawa feminist wanasema nani kama mama ila nakuambia ndugu yangu Baba ni habari nyingine.
Hata kama hana hela. Ila akisema neno tu linatosha kabisa.
Vaa uhusika wake kwanza.Msamehe bure
Kudhibiti hasira iliyotokana na maumivu makali ni ngumu mnoo, hiyo hasira ndiyo inayoleta chuki na kisasi.Usimchukie bali jitenge naye na maisha aliyokupitisheni liwe funzo bora utakapojaaliwa kupata familia yako
Chuki kama hiyo huzaa kisasi.. Jitajidi uzao wako usirithi visasi
Naendelea kujifunza kupitia wengineMimi dingi yangu aliwahi ninyima chakula siku kadhaa na wanakula hapo na mke wake (mama wa kambo). Wanakucheka!!
Niliwahi kuumwa kwa kuzidiwa kabisa nimelala karibu na uwani kwasababu nilikuwa natapika saaana (wakati mzee anatoka bafuni na mkewe ikabidi nimwombe angalau ela niende hosp kucheki maana hali ni mbaya) " kauli aliyoniambia ni kwamba we unayo?'" yaani hio ela nnayo omba mi nnayo?? Ikabidi niseme Sina.. nayeye akajibu Hana pia!!
Niliwahi fukuzwa home, sio mara moja!
All in all mzee wangu (dingi) namkubali sana pamoja na yote..
Nilishaapa sana kwamba haitakuja kutokea nimkubali!! Lakn ndo hivyo akiwa na shida akikucheki tu! Mtu upo tayri uazime ela sehem umtumie (I don't know hii Hali inakuwaje kuwaje)
Kwani hao wanawake hawaumizwi na waume zao na wakavumilia ? Mwenzio anasema siwezi acha wanangu wateseke, ila mwanaume mke kamuudhi tena wakati mwingine yeye ndiyo sababu, jibu lake anakimbia nyumbaniMimi nawapenda sana wanangu, ila kwa kitu mke wangu alinifanyia mwaka 2013 nikiwa na watoto wawili, ningeweza mtelekeza kama Baba yako alivyofanya ( Kama nisingekuwa na Imani katika Mungu)
Hawa Mama zenu sio malaika, wakati mwingine waache tu wateseke!
Mama yako anakupotezea mda tu, mfariji, ila tafuta Baba yako, atakusaidia sana na kukupa experience ya kiume ngumu aliyopitia kwa Mama yako, hawa wanawake waangalieni hivi hivi, shida sana!