manoah, i love you son!! nimfurah kusikia hata Suprise anakupenda sana.
wish you a wonderful new love honey.
sasa kaka mkubwa Ronn M naomba uandae kamati kwaajili ya kwenda kujitambulisha kwa akina Suprise na jeneneke andaa zawadi kwa mwali mdogo. sawa??
mimi nimetingwa sana kwa sasa but mkiwa tayari just tell me nitashiriki ipasavyo. kwasasa mie na swtlo wangu Kaizer na dada mkubwa AshaDii tuko fungateni.
Evelyn Salt kule kwenye jukwaa lako Good Guy ume mwacha nani?
Huyu ni wife, kaa kimya haya kuhusu
maza maza maaazaaa
maza huyoooo maza maza huyoo maza huyooo maza huyooo maza huyoooo maza
Jukwaa la siasa acha tu wewe lina mabo nimechoka ndo maana nipo hapa!!!!!!!
maza maza maaazaaa
maza huyoooo maza maza huyoo maza huyooo maza huyooo maza huyoooo maza
Duh.... Teh teh teh.... Kumbe ile ilikuwa kama tangazo la siri kuwa unatafuta... Uhwiii
Aaafu wewe!?
Umechoka, na mie niunganishe basi niwe nakuja kupiga story
Hauna access ya jukwaa la siasa????
Donn umetumwa au umejituma?
nadhani kujituma ni nzuri.... Ngoja niende dukani...
Shost umeanza tibua upepo, am luking for matron hapa, vipi can u
achana nao, watachonga sana juu yetu, tutapiga tinted mda si mrefu, yaliyopita si ndwele
hahaha, haelewi tofauti kumbe, mapenzi upofu ,source : wahenga