Nakshi nyumba yako kwa finishing na Crystone paint

Mkuu nimependa ile rangi ya stucco yenye muonekano wa kung'aa, ila hutajuelimisha pia juu ya majanga kama moto isije ikawa kichocheo
Ndg Stucco Veneziano ni material yaliyotokana na mawe yaliyo vundikwa, hivyo haina chemical zinazo ifanya itoe harufu, wala haiwezi kuwaka.
 
Karibu wadau.
Hizi kazi hazikufanyika hapa Tanzania, kusudio la picha hizi ni kukuonesha jinsi Crystone inavyo husishwa hata kwenye miradi mikubwa.
 

Attachments

  • 1490503824445.jpg
    1490503824445.jpg
    19.4 KB · Views: 67
  • 1490503830830.jpg
    1490503830830.jpg
    17.6 KB · Views: 65
  • 1490503837319.jpg
    1490503837319.jpg
    27.5 KB · Views: 73
Back
Top Bottom