Nakosa mke kisa dini

Acha uwoga kijana,
muoe tuone kama watamtenga wazazi wake wasxnge hao.[emoji23] [emoji1]
 
hawa ndugu zetu wabaguzi sana wa dini cha kufanya mpe mimba kisipoeleweka watakusaidia kulea
 
Kama ni Mrangi shukuru mungu, kimbia mbali kule, wale wanawezana wenyewe kwa wenyewe labda kama na wewe ni mrangi.
 
Ningekuwa Mimi ningebadili dini baada ya harusi narudi zangu katololiki,changamka wewe utamkosa mtoto wa kirangi kizembe
 
Vipi tena,kwa hiyo katoliki hiyo ndoa wanaitambua?? Au umeivunja kienyeji
 
Binadamu hatuishi watu wakiwa wanatafuta michepuko hawaangalìi dini lakini linapokuja suala la mahusiano rasmi ya ndoa ndio vinakuja visababu vya kipuuzi. Eti siwez kuoa au kuolewa na mtu wa dini nyingine.

Mbona wakati wa kuunganisha vikojoleo kabla ya ndoa hamuulizani dini zenu?
 


Religion is for the fools!

Are discriminative and violent in nature!

How can you break love of two consenting adults with firm state of mind by using some hateful text paragraph from a stupid book written by stupid people in the medieval Europe!

Fools,fools!
 
Udini ni ujinga nendeni mkafunge ndoa ya kiserikali
 

Nani kakwambia mwanamke hana Dini?!
 
Mmmh!!! Mkuu unaamini kwamba Mungu yupo??
 
Ukibadili dini kwasababu ya mwanamke maana yake nikwamba Mke ni Bora Kuliko Mungu wako unaye muabudu,

Angalia sana usije pata laana ya mwenyezi Mungu wako unaye muabudu,

Kama mnapendana kweli, kwanini kila mmoja asibaki na dini yake, ndoa mkafungia serekalini basi maisha yaendeleee,? ?
 
Huna cha kufanya hapo mkuu. Kama huwezi badili dini basi huyo mke sahau. Hao jamaa watata.
 
Mpige mimba. Wakimtenga ndugu zake ndo vizuri unapunguza majungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…