Nakosa cha kuongea na mpenzi

Piga story tu za hapa na pale,mfano usafiri,ushawahi fika let's say mbeya? akisema nope unamwambia mapenzi jitahidi kufika maana ni pazuri sana,unaunga Mie nilienda kumtembelea uncle nilienjoy sana weather ipo Safi chakula cheap etc akisema nishawahi kwenda mbeya unamuuliza vp unapaonaje? akishasema Kama pazuri una msuprise vp tukienda wote? bla bla na mapenzi zipo nyingi tena issue ya magufuli utachukua point na utapata story hata ya dakika 20....ukimaliza unakuja za madawa ya kulevya,ukimaliza unakuja za wema kuiba umeme na maji,ni PM nikupe nyingine.
 
Hahahaaa wema kuiba umeme du hizo stori siwezi kwa kwel
 
Wanawake bwana yani hapo unapokuwa kimya hivyo huwa wanafikila mbali xanaa,, mwanamke nae huwa anataka uanzishe maongezi unajua

Huwa wanataka wanume ambao huanzisha maongezi wao kw xtori mbalimbali

Wanataka ubunifu wa maongezii

Then wanataka mwamamme ambaye anajua kusoma ishara zaooo sababu asilimia kubwa wao huwasilisha mambo yao kwa kutumi isharaa!!
 
Piga story tu za hapa na pale,mfano usafiri,ushawahi fika let's say mbeya? akisema nope unamwambia mapenzi jitahidi kufika maana ni pazuri sana,unaunga Mie nilienda kumtembelea uncle nilienjoy sana weather ipo Safi chakula cheap etc akisema nishawahi kwenda mbeya unamuuliza vp unapaonaje? akishasema Kama pazuri una msuprise vp tukienda wote? bla bla na mapenzi zipo nyingi tena issue ya magufuli utachukua point na utapata story hata ya dakika 20....ukimaliza unakuja za madawa ya kulevya,ukimaliza unakuja za wema kuiba umeme na maji,ni PM nikupe nyingine.
Teh teh we jamaa mtata sana
 
G.sizo;14943294 said:
Kwel mkuu kuna option rahis xana mfano double Yr tunbtrr,o6veruy:, 0ñt.5 goal yan kanji ajipange tukimshindwa na hapa tuache betting
 
Kama hujatongozewa huyo demu basi ulihonga sana ndo mana huna cha kuongea nae.
 
Mmmmmmmh poleee...... Mm huwa najua mkikutana tu mtashangaa story zinapotokea hata Hamjui...... Ina maana hata ile I mic u nyie hamna jaman
 
Back
Top Bottom