Sawa Ndugu YanguNjoo PM ni kuunganisha na mtu wa kukusaidia
Sio wewe tu nilishapitia hiyo hali dawa Fanya tahajudi Mara kwa mara
Hapa nimekuelewa sana ndugu, Bwana Yesu ni mwisho wa mauzauza yote! Mimi pia ni shuhuda.Hiyo hali iliwahi kunikuta mwaka 2014 Nilikuwa naishi sina amani bila sababu yeyote hadi nilikuwa nalala kazini mchana hali ilyonipelekea kukaliwa kikao kazn .....
Suluhu niliipata 2016 nilipookoka na Yesu akawa kiongoz wangu nilijihis shujaa kila mda na yote hayo yakawa mwisho wake......
Mkuu unahitaji kumuona psychologist au psychiatrist atakusaidia kabla hali haijawa mbaya zaid. Please do it.Mkuu hili la hawa marafiki hewa "wakufikirika" hivi nawafukuzaje kichwani,let say nikiwa alone napiga nao story,sio kwa sauti kubwa,ni ile "kimoyomoyo" in my mind sijui head.
Kuwa makini na matumizi ya akili yako sio wote waliopo humu wanapenda mabishano ndugu.Acha porojo
Niligundua Mara nyingi wanadamu hatuna amani na nafsi zetu wenyewe kwasababu hatuna amani na Mungu Mwenyezi.Kwa hiyo ni aina ya hofu au uoga?
Hapa nimekuelewa sana ndugu, Bwana Yesu ni mwisho wa mauzauza yote! Mimi pia ni shuhuda.
Not only that. Kama kuna maagano amefanya ayabatilishe coz hiyo hali means umauti unamkaribiaIf you did blood money, my friend you deserve it!!