MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,460
- 1,476
Wanajamvi Habari Za Jioni, Bila Shaka Ni Wazima na Bukheri Wa Afya, Naombeni Nishee Nanyi Hili Jambo huenda Nikapata Ufumbuzi, Sababu Naamini humu kuna Watu Wenye Ufahamu wa Kila Aina, Kadri Siku Zinavyoenda Naona Tatizo Linazidi Kuwa Kubwa, Nimekuwa na Hofu Mno Hasa Ukiingia Usiku Wa Kiza, Yaani Moyo Unaenda Mbio Bila Sababu, Usingizi Unakata Kabisa, Nikisema Kausingizi Kanipitie tu, Ndio Nitaota Vitu Vya Ajabu Hadi Nashtuka Usingizini, Natamani Muelewe Hii Hali Ninayopitia, Imefika Pahala Nashinda Ma Club Mradi Nirudi Nyumbani Asubuhi, Nayo Nimeona Sio Solution Zaidi Ya Kufuja tu Pesa, Kwa Wenye Experience mwaweza Nisaidia Hii Hali Inatokana Na Nini Na Nifanye Nini iondoke? Please! Over Please! Nahitaji Msaada, Ni Kweli Na Wala Sio Hadithi Ya Kutunga , Mungu Awabariki na Kuwalinda.
Ahsanteni Sana!
Ahsanteni Sana!